Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Joni Mtembezi wa alama nyeusi, Black Label, unataka nikutajie mahali kwenye sensitive military installations humu?, mimi zaidi ya kuwa ni mwandishi wa habari, pia ni mjeda, hivyo the national security act hairuhusu na media act pia hairuhusu!.Zipo wapi?
Na kwa nini zisibebe maji kuzima kilimanjaro?!
Hazikuletwa kwa ajili ya kubebea maji ya kuzimia moto!.
P