Gerson Msigwa: Mabadiliko ya Masharti ya VISA ya Marekani si kosa la Serikali, ni kosa la Wanaozamia

Gerson Msigwa: Mabadiliko ya Masharti ya VISA ya Marekani si kosa la Serikali, ni kosa la Wanaozamia

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Kuna baadhi ya Watu wamekuwa na tabia ya kwenda Marekani na wakifika huko wanazamia au wanachelewa kurejea ndani ya muda wa Visa ambayo walipewa.

Serikali ya Marekani imeamua kuweka mabadiliko ya maombi ya Visa kwa Nchi kadhaa kama tano au sita, chanzo ni ndugu zetu wanaokwenda na hawarudi, kutokana na idadi ya wanaofanya hivyo kuongezeka imeamua kufanya mabadiliko ya masharti.

Masharti hayo ya kuweka dhamana ya fedha yanawahusu wanaoomba Visa ya kwenda Marekani kwa ajili ya sababu za kibiashara au Utalii.

Pia soma:
- Bila dhamana ya Viza Watanzania marufuku kuingia Marekani kuanzia 23 Oktoba 2025. Serikali nao watoa tamko
- Tanzania yatoa tamko kufuatia onyo la Marekani kuhusu Watanzania kuzuiwa kuingia Marekani

Ukizidisha hata kwa dakika moja wanachukua hizo fedha za dhamana na wanakutafuta na kuchukua hatua.

Hivyo, wanapoenda Marekani warudi, waache kuzamia na kudanganyana.

Watanzania waheshimu maelekezo ya Visa siyo tu ya Marekani bali Nchi yoyote, mazungumzo ya naendala, tuna uhusiano mzuri wa muda mrefu na Marekani.

CHANZO: UFM
 
Kwahyo viongozi wa mali waliolipiza kwa kuweka utaratibu huo huo kwa raia wa marekani wanaoingia mali ni wajinga.

Sioni Tanzania ikiendelea kwa aina ya viongozi wa namna hii kwa kweli.

Nchi zingine zinazothamini raia wake na uhai wao hata ukikutwa na hatia yakuzamia huko lazima serikali ioneshe kukusaidia maana wanajua mapambano yako ya huko kwa namna moja au nyingine yanaweza kuisaidia nchi.

Hao waliozamia ndio wengine wamefungua miradi na kujenga nyumba nzuri huku Tanzania.Wamesaidia ndugu zao kuwainua kimaisha na hyo imepelekea mapato ya serikali yaongezeke.

Haijalishi mTanzania nje ya nchi kakamatwa kwa kosa gani lakini tujifunze kuwasaidia mengine tutayajua akifika nchini mwetu.

Mmarekani,muingereza,mrusi akikamatwa nchi za watu hata kwa kesi ya madawa au mauaji lazima wafatilie na waoneshe msaada wao kwa raia wao ndio maana wanapata maendeleo.

Wanawafanya raia waliopo nje wakate tamaa na nchi yao maana kila wakifikiria hawaoni msaada wa serikali yao katika mapambano yao.Kuanzia kupewa passport ni figisu kwa kwenda mbele em tubadilike.

Hatuwezi wote tukatafutia maisha hapa Tanzania lazima wengine waende wakapambane nchi za watu.Najua serikali haiwezi kuhamasisha watu kuzamia lakini ikitokea madhira kwao lazima ioneshe kuguswa na raia wake huo ndio uwajibikaji.
 
Acheni kututupia makofi namana sisi hatuna muda wa kujipangia kukaa huko, mbona wao huwa wanakuja kujazana tu bila sababu za msingi, hadi wahakikishe wamelinyonya damu taifa ndipo wageuze kwao, acheni sera za ubaguzi na upendeleo.
 
Hao waliozamia ndio wengine wamefungua miradi na kujenga nyumba nzuri huku Tanzania.Wamesaidia ndugu zao kuwainua kimaisha na hyo imepelekea mapato ya serikali yaongezeke.
Sheria ni msumeno.
 
Dr. Aman Mdewa, mhadhiri UDSM afafanua athari za sera hii mpya ya viza Kiuchumi na kiMaendeleo


View: https://m.youtube.com/watch?v=ty1BMSWP5VI
N.B
Nini kimebadilika, masharti, vigezo na sheria kwa ajili ya udhibiti (kupata) upataji VIZA ya Marekani

Marekani sasa mbali ya kulipia gharama za viza, msafiri wa utalii atatakiwa pia kutoa fedha za ziada kama bondi ambayo itarejeshwa mara mtembezi huyo atakapomaliza matembezi nchini Marekani na kuondoka kurejea nchini kwao.

Sharti hili ni kuzuia watu waliopata visa kutokomea na kwenda kusikojulikana ndani ya Marekani.

Sharti hilo litaanza kutumika kwa raia wa nchi za kiAfrika, na nchi zilizoteuliwa kuwa kama shamba darasa (pilot project) ni Malawi na Zambia kisha mafanikio yake kufanyiwa uchambuzi kama ni mpango sahihi wa kuzuia wazamiaji na ikiwa utaonesha mafanikio nchi zingine kadhaa barani Afrika na duniani zitaongezwa katika mfumo huo wa kuweka bondi.

Countries Subject to Visa Bonds​

Last Updated: August 5, 2025

The Department of State has identified nationals of the following countries as subject to visa bonds, as outlined in INA Section 221(g)(3) and the recently published Temporary Final Rule (TFR) establishing the pilot program, based on their B1/B2 overstay rate per the Department of Homeland Security’s FY 2023 Overstay Report.
  • Malawi
  • Zambia
Starting August 20, 2025, any citizen or national traveling on a passport issued by one of these countries who is found otherwise eligible for a B1/B2 visa must post a bond in amounts of $5,000, $10,000, or $15,000, determined at time of visa interview. The applicant must also submit a Department of Homeland Security Form I-352 agreeing to the terms of the bond, through the Department of the Treasury’s online payment platform Pay.gov. This requirement applies regardless of place of application.
Applicants should only submit a Form I-352 to post a bond after being directed to do so by a consular officer. Applicants will be provided a direct link and must pay via Pay.gov – applicants must not use any third-party website for posting the bond as the U.S. Government is not responsible for any money paid outside of U.S. Government systems.
A bond does not guarantee visa issuance, and if any individual pays fees without being directed to do so by a consular officer, that money will not be returned.

Required Ports of Entry​

As a condition of the bond, all visa holders who have posted a visa bond must arrive to and depart from the United States via one of the ports of entry listed below. Failure to do so may result in being denied entry or a departure not being appropriately registered:
  • Boston Logan International Airport (BOS)
  • John F. Kennedy International Airport (JFK)
  • Washington Dulles International Airport (IAD)

Visa Bond Compliance​

The full visa bond amount will be returned to the applicant if the applicant complies with all the terms of the nonimmigrant visa status and with the terms of the visa bond, which are set out on the bond form (Department of Homeland Security’s Form I-352 Immigration Bonds) and in the Federal Register. The bond will be canceled and the bond money will be automatically returned in the following circumstances:
  • The visa holder departs from the United States on or before the date to which he or she is authorized to remain in the United States; or
  • The visa holder does not travel to the United States before the expiration of the visa; or
  • The visa holder applies for and is denied admission at the U.S. port of entry.

Visa Bond Breach​

The Department of Homeland Security is responsible for determining that a visa holder has breached the terms of the visa bond. The Department of State will forward cases in which the visa holder appears to not have complied with the terms of the visa bond to the U.S. Citizenship and Immigration Services (USCIS) for a breach determination, including, but not limited to, the following circumstances:
  • The visa holder departs from the United States after the date to which he or she is authorized to remain in the United States,
  • The visa holder remains in the United States after the date to which he or she is authorized to remain, and does not depart,
  • The visa holder applies to adjust out of nonimmigrant status, including claiming asylum.
 
Back
Top Bottom