Maridhiano wana maanisha LISU akubali ku compromise misimamo yake ,aache siasa za HAKI awe kama MBOWE na siasa za maridhiano...siasa kama za ACT na CHAUMA ndio hizo wanazozotaka
siasa za UBWABWA kama Spunde,wanataka LISU akubali kurudhiana AWE CHAWA alambe asali..halafu awatulize GEN Z...kwa maneno ya busara kama MWAMBA..mbowe akishaenfa kunywa chai pale ukulu anakuja na sera za maridhiano kama bowe.. yani LISU akibali yaishe.. AFUNGE MDOMO au arudi ubeligiji....anyamaze...NDIO MARIDHIANO...hayo ndiyo maridhianao...siasa baridi.baridi..za mchongo mchongo za kuwadanganya wana INJI kama za lyatonga na nccr.
Mana LISU akitoka tu halafu UKAMPA Microphone MIC kipaza sauti AKIONGEA NUSU SAA TU .. mana Lisu anafundisha na kuhutubia ..ukimpa mike dakika chache tu...ana nguvu kubwa ya ushawishi..NYOTA kali ya SIMBA ya mvuto wa kisiasa .na kupangilia hoja ...na anajua SHERIA. pia NI MSEMA KWELI mpenda HAKI ,Mzalendo...HANUNULIKI..sio mtu mwenye TAMAA ya UFISADI .high self esteem ..MJAMAA sio mbinafsi..
LISU NI KAMA MPAKWA MAFUTA WA MUNGU..KAMA NABII MBEBA MAONI kusudi la Mungu...ni tofauti sana na wanasiasa wengine wa upinzani..
mpinzani wa kweli mwenye msimamo...sio MNAFIKI sio tapeli wa kisiasa ,loyal kwa anachikiamini..
MAFISADI NA MAJIZI YOTE WEZI WOTE wanamuona LISU KAMA THREAT MTU HATARI KWA UGALI WAO.. kwa wizi wao na ufisaidi wao..wanamuogopa Lisu kuliko chochote***
wanajua watu mioyoni mwao bado wana majeraha ,wanajua wana inji wanataka nini ,na nini hawataki...wanajua wana INJI hawataki nini,na wanataka nini ,na wanamtaka nani ,na hawamtaki nani,..wanajua kila kitu...
ILA WANGEKUWA NA AKILI HATA KIDOGO TU.
WANGERIDHIANA NA WANANCHI...WOTE SIO LISU PEKE YAKE...
Badala ya kutegemea waridhiane na LISU GIZANI halafu wamuachie LISU msala wa kuja kutoka hadharani AWATULIZE wana inji na wana cdm.
WARIDHIANE na WAKRISTO hasa TEKU KITIMA,kanisa RC GENZ ,WANANCHI WOTE,CHADEMA,LISU...na wafungwa wa kisiasa waachiliwe..LISU a achiliwe bila masharti yeyote.
wakumbuke MUNGU WA LISU ndiyo huyo huyo Mungu wa wote ,na Mungu si athumani ni MUNGU wa haki...mateso ya lisu na machozi ya lisu yatajibiwa soon ,WATESI WOTE WA MTU WA MUNGU LISU..WATAKUFA VIBAYA..Lisu kwa uweZo wa MUNGU ..ata savaivu kama Mungu alivyomuokoa na marisasi...HATA SASA Mungu atamuokoa ila wale wote wanaomtesa LISU bila hatia yeyote...mwisho wao ni mbaya.