Tuliambiwaga kuwa tayari ATCL imeanza kutengeneza faida 30 billionNamsikiliza Gerson Msigwa ktk kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa.
View attachment 1983658
My take.
Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi kuzalisha hata shilingi moja halafu bado tunaagiza midege mingine.
Umefanya jambo la maana sanaNilitaka kutukana ila nimeacha.
Wacha tukamuliwe hadi damu maana tumeipenda wenyeweMsigwa DPC anaongea kwa kujiamini sana ,yaani washalipa 120B cash kama kitangulizi hahahaa ,TOZO ZIENDELEE.
Sasa unamwachia nani aongee kama siyo wewe mwananchi?Hivi nani aliwaambia hawa kununua ndege nyingi ni sifa? au wanatukomoa mpaka tunyamaze ndio waache? ok, mimi siongei tena.
Namsikiliza Gerson Msigwa ktk kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa.
View attachment 1983658
My take.
Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi kuzalisha hata shilingi moja halafu bado tunaagiza midege mingine.
Huyu hivi bado hujamzoea tu?Nyanda badala ya kumuuliza maswali ya maana ..anapiga sound tu
Wewe usiefahamu hizi biashara ndio umerogwaNamsikiliza Gerson Msigwa ktk kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa.
View attachment 1983658
My take.
Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi kuzalisha hata shilingi moja halafu bado tunaagiza midege mingine.
Natabiri zitaenda ZanzibarNamsikiliza Gerson Msigwa ktk kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa.
View attachment 1983658
My take.
Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi kuzalisha hata shilingi moja halafu bado tunaagiza midege mingine.
Hakuna biashara hapo. Kununua bombardier halafu Ikawa unafanya safari za ndani ni sawa na kununua basi la abiria halafu ukalifanya kuwa la kwendea kazini wewe na mkeo/mumeo. Ujinga.
Baada ya miaka 5 Zenjibaa itakuwa nchi na danganyika itakuwa mkoaNatabiri zitaenda Zanzibar
Huyo Mtangazaji wa hicho Kipindi popote alipo aanze Kujiandaa kwani Cheo cha ama DC au DED na hata DAS Kwake hakipo mbali kuanzia sasa. Mfikishieni huu Ujumbe wangu Muhimu Kwake tafadhali kwani GENTAMYCINE sijawahi 'Kutabiri' Jambo ( Kitu ) na kisije kutokea iwe sasa, Kesho au hata baadae.Namsikiliza Gerson Msigwa ktk kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa.
View attachment 1983658
My take.
Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi kuzalisha hata shilingi moja halafu bado tunaagiza midege mingine.
Hahahah! umenichekesha sana ndugu.Hivi nani aliwaambia hawa kununua ndege nyingi ni sifa? au wanatukomoa mpaka tunyamaze ndio waache? ok, mimi siongei tena.