Gerson Msigwa: Ndege nyingine 5 kufika kabla ya mwaka 2023, zimelipiwa keshi

Umeiona business plan ya ATCL wewe au unasema tu?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kuna wajomba wanafaidika
 
Zililetwa zikitetea hivi sasa zinalalia, inabidi tusubiri zitotoe faida tutaiona.
 
Ni moja ya kipaumbele chao, kufufua ATCL, let them try japo wana try kwa jasho letu wa Tz wote,

Sometimes unaweza hisi labda kuna maono wameonyeshwa mbeleni huko usu NDEGE izo..

Kila Awamu ina mazuri na mabaya yake..
muda utaongea..
 
Ununuzi huu umetuvuruga akili, ni vizuri tubgejua the master plan nyuma ya nunuanunua hii
 
Reactions: G4N
Sababu ya kutoka nje ya ule uandishi tulioufahamu ni pamoja na mawindo ya teuzi, tulikofika ni katika kupotea🚣.
 
Tatizo mtoa mada huna akili, huna uelewa juu ya biashara ya ndege, nenda kafatilie mashirika Kama Emirates au Ethiopian airways yanavyoendeshwa, serikali inaona mbali, usifikirie hawana akili wanapozidi kununua ndege tu licha ya kwamba kwa saiz zinaingiza profit kidogo...
 
Reactions: G4N
Zilizopo zinaenda wapi? GAG amesema kwenye taarifa yake kuwa kuna hatari kubwa kwa ndege za AIR Tanzania kukamatwa ikiwa zitaruka kwenda nje kutokana na madeni makubwa, sasa tunaongeza nyingine zitaenda wapi? Kwa nini tusingeanza mazungumzo na hao wanaotudai tupunguze madeni taratibu badala ya kununua ndege mpya cash? Ni sawa na kuwa unamdai mtu shs 100,000, kila mara anakuambia hana hela, lakini unamkuta hoteli kubwa na rafiki zake wanakula na kunywa kila siku
 
Reactions: G4N


Ziandikwe Hivi

  1. Kazi Iendelee
  2. SSH
  3. Sisi Tumekubali
  4. 2025 Inshaallah
  5. Awamu Ya Sita
  6. HAIJAPATA KUTOKEA
  7. COVID 19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…