Gerson Msigwa: Ndege nyingine 5 kufika kabla ya mwaka 2023, zimelipiwa keshi

[emoji23]itakuaa ajabu nisipopanda pipa
 
Yaani unalipa kununua ndege kwa Cash leo halafu unapewa hiyo ndege baada ya mwaka. Nini mantiki ya kulipa kwa cash?
 
Reactions: G4N
Kwani mtendaji mkuu wa ATCL yeye anasemaje kuhusiana na taarifa za shirika lake zilizokinzana kwenye faida na hasara?
 
Reactions: G4N
Majumba ya popo haya.sidhani kuna bisashara yoyote
 
Reactions: G4N
Shirika lilikuwa lishajifia hili hadi hapo November 2015 mwanaume aliposema kazi na ianze chapa keshi kwa keshi dabali dabali hadi fleet ya kueleweka ikaonekana. He will go down the history as the greatest ever to sit and serve in the white house.
 
Kama watu wangekua wanaangalia hivyo basi hata mashirika makubwa yandege yasingefika hapo yalipo...

Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi kuzalisha hata shilingi moja halafu bado tunaagiza midege mingine.
Yaani wewe unaanza tu biashara unataka mafanikio hapo hapo, na kama ukisipo ona mafanikio unaacha biashara.

Hivi vitu vinahitaji michakato, muda ili kijipambanua ni sawa tu na kilimo huwezi kupanda Leo afu kesho tu utegemee kuvuna haiwezekani.

Kwa nchi kama Tanzania ina sifa zote stahiki za kua na shilika kubwa hapa Afrika.
 
Nyanda badala ya kumuuliza maswali ya maana ..anapiga sound tu
Nyanda amejitahidi saana kumuuliza maswali magumu japo kwakuyapoza....
HIV ungekua wewe ungesubutu hata kuomba appointment na msemaji wa serikali ya kibabe ka hii?
 
Reactions: G4N

Ndugu mleta mada, Mambo mengine yako nje ya scope yako ya uelewa,
Ukijifanya mjuaji sana wa kila jambo you eventually end up exposing your ‘ujuha’ kama hivi.
 
Ndege gani hiyo haijawahi kuzalisha hata shilingi moja?
 
SO
WHAT??? USHAMBA NA UJINGA NI MZIGO....NDEGE KWA AJILI YA NINI????
 
Tutakuwa na jumla ya ngapi yakija hayo matano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…