deNavigator
Member
- Sep 22, 2018
- 49
- 63
Leo gerson msigwa akiongea na waandishi wa habari anasema serikali haiwezi kuajiri walimu wote kama ambavyo haiwezi kuajiri waandishi wa habari na fani zingine. Na akaongeza kwakusema kua serikali hua inaajiri walim kwa awamu kila mwaka.
Hapa ni siasa katika elimu kwakweli .
Ivi kweli :
1. Shule zinavojengwa kila siku na madarasa kuongezwa kila siku inaakisi namna wana ajiri walim hawa jamaa ??
Hayo madarasa na shule zinazoongezwa ni nani anafundisha ?
2. Kila siku idadi ya watoto tu ajisifu kua imepanda (enrolment) ni nani anawahudumia hao watoto huko shuleni ??
3. Mapato kila siku yanapanda. Kwanini wanagoma kuongeza fungu katika sekta ya elimu ili watoto wa walipa kodi wafundishwe vilivyo ???
Ivi wanawaona walipa kodi mazuzu kiasi gani kwamba pesa zao zisitumike kuelimisha watoto wao ???
4. Ratio ya walim kwa wanafunzi mbona hawajawah iongelea hawa jamaa ??
Ivi wanataka kusema pale TBC pana upungufu wa waandishi sawa na upungufu wa walim shuleni ?? Au TRA pana upungufu pale?? au NMB au CRDB.
Yani sehem za kuchumia matumbo yao na kujionyesha pana wafanyakazi wa kutosha, why not in schools ??
5. Improvement za mitaala kila siku, ni lini wata improve number of teachers in schools ili mitaala husika itekelezeke ??
6. Comrades ujinga, njaa na umasikini ni maadui wakuu wa mwanadamu. Kwanini TANZANIA tunamdharau sana adui ujinga kiasi cha kuhusudu mfumo legevu wa elimu ...
Mfumo usio na watekelezaji sera na miongozo wa kutosha ????
7. 2016 tuliambiwa after kuwatoa walimu wa vyeti feki wataajiri vijana ku replace zile nafasi .. ndugu zangu, ni lini nafasi za walimu wa vyeti feki zitazibwa ??? Elimu ni mbovu sana huko mashuleni walimu wapo overloaded sana.
Mwalim hawez hata kusaisha daftari za wanafunzi kwa weredi, sabab wanafunzi ni wengi sana.
Nimeenda mwanza pale nimekuta mwalimu kampa tiki mtoto akiwa ameandika kisukuma kwenye zoezi la somo la kingereza.
TANZANIA MNADHARAU SANA ELIMU NAWAAMBIA.
Wanasisa wanadhani waalim wanapambania tu kuajiriwa . Hapana mimi nasimamia ubora wa elim inayotolewa.
Nashauri wafanyishe interview na kila jambo hitajika. Ila mwisho wa siku wahakikishe mtoto wa kitanzania anapata watu wa kutosha kumhudumia akiwa shule. Ili apate ufahamu sawa na watoto wao Wanaosoma kwenye mashule makubwa yenye walim wa masomo yooooote.
KODI ZETU , NA WANAOSOMA HUKO MASHULENI NI WATOTO, WADOGO NA NDUGU ZETU. KODI ZITUMIKE KUAJIRI WAALIMU.