Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
sidhani kama nasisi tunataka Serikali iajili kila aliyehitimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wenzio wanawaza kujiongezea mishahara!Kuna Vitu Tanzania huwa tunajitakia Wenyewe..
Lets say Tukipunguza Mishahara Ya Wabunge Kutoka milion 18 na Tukaishusha mpaka Milion 8 Je kwa Pesa inayobaki Inaweza Kuajiri walimu wangapi na wanaweza Kutumika Wapi walimu hao...
Ngoja tufanye hesabu, tunaweza kuona ni walimu wangapi wangeajiriwa ikiwa mishahara ya wabunge ingepunguzwa kutoka milioni 18 hadi milioni 8 kwa mwezi.
1. Mshahara wa sasa wa wabunge:
Kila mbunge analipwa milioni 18 kwa mwezi.
Kwa wabunge 393, jumla ya mshahara kwa mwezi ni:
18,000,000 X 393 = 7,074,000,000 { (Tsh 7.074 bilioni)}
2. Lets say tumeshusha Mshahara wabunge (milioni 8):
Ikiwa kila mbunge atalipwa milioni 8, basi jumla ya mshahara kwa wabunge wote itakuwa:
8,000,000 X 393 = 3,144,000,000 { (Tsh 3.144 bilioni)}
3. Kiasi kinachookolewa kwa mwezi:
Pesa inayookolewa ni:
7,074,000,000 - 3,144,000,000 = 3,930,000,000 { (Tsh 3.93 bilioni)}
4. Idadi ya walimu wanaoweza kuajiriwa:
Ikiwa mshahara wa mwalimu mmoja ni Tsh 700,000 kwa mwezi, basi idadi ya walimu wanaoweza kulipwa kwa pesa iliyookolewa ni:
3,930,000,000 ÷ 700,000= 5,614
Kama Tutapunguza Mishahara ya Wabunge tunaweza kuajiri walimu 5,614 kwa mshahara wa Tsh 700,000 kila mmoja kwa mwezi
Dah. Ni hatari sana. ... Aloo. Mambo simple sana. Ila inahitaji viongozi wenye vision.Kuna Vitu Tanzania huwa tunajitakia Wenyewe..
Lets say Tukipunguza Mishahara Ya Wabunge Kutoka milion 18 na Tukaishusha mpaka Milion 8 Je kwa Pesa inayobaki Inaweza Kuajiri walimu wangapi na wanaweza Kutumika Wapi walimu hao...
Ngoja tufanye hesabu, tunaweza kuona ni walimu wangapi wangeajiriwa ikiwa mishahara ya wabunge ingepunguzwa kutoka milioni 18 hadi milioni 8 kwa mwezi.
1. Mshahara wa sasa wa wabunge:
Kila mbunge analipwa milioni 18 kwa mwezi.
Kwa wabunge 393, jumla ya mshahara kwa mwezi ni:
18,000,000 X 393 = 7,074,000,000 { (Tsh 7.074 bilioni)}
2. Lets say tumeshusha Mshahara wabunge (milioni 8):
Ikiwa kila mbunge atalipwa milioni 8, basi jumla ya mshahara kwa wabunge wote itakuwa:
8,000,000 X 393 = 3,144,000,000 { (Tsh 3.144 bilioni)}
3. Kiasi kinachookolewa kwa mwezi:
Pesa inayookolewa ni:
7,074,000,000 - 3,144,000,000 = 3,930,000,000 { (Tsh 3.93 bilioni)}
4. Idadi ya walimu wanaoweza kuajiriwa:
Ikiwa mshahara wa mwalimu mmoja ni Tsh 700,000 kwa mwezi, basi idadi ya walimu wanaoweza kulipwa kwa pesa iliyookolewa ni:
3,930,000,000 ÷ 700,000= 5,614
Kama Tutapunguza Mishahara ya Wabunge tunaweza kuajiri walimu 5,614 kwa mshahara wa Tsh 700,000 kila mmoja kwa mwezi
Well said. Iajiri namba inayotoshea.sidhani kama nasisi tunataka Serikali iajili kila aliyehitimu.
Kila mwaka serikali inatumia kati ya billion 300 mpaka 500 kununua magari ya kifahariKuna Vitu Tanzania huwa tunajitakia Wenyewe..
Lets say Tukipunguza Mishahara Ya Wabunge Kutoka milion 18 na Tukaishusha mpaka Milion 8 Je kwa Pesa inayobaki Inaweza Kuajiri walimu wangapi na wanaweza Kutumika Wapi walimu hao...
Ngoja tufanye hesabu, tunaweza kuona ni walimu wangapi wangeajiriwa ikiwa mishahara ya wabunge ingepunguzwa kutoka milioni 18 hadi milioni 8 kwa mwezi.
1. Mshahara wa sasa wa wabunge:
Kila mbunge analipwa milioni 18 kwa mwezi.
Kwa wabunge 393, jumla ya mshahara kwa mwezi ni:
18,000,000 X 393 = 7,074,000,000 { (Tsh 7.074 bilioni)}
2. Lets say tumeshusha Mshahara wabunge (milioni 8):
Ikiwa kila mbunge atalipwa milioni 8, basi jumla ya mshahara kwa wabunge wote itakuwa:
8,000,000 X 393 = 3,144,000,000 { (Tsh 3.144 bilioni)}
3. Kiasi kinachookolewa kwa mwezi:
Pesa inayookolewa ni:
7,074,000,000 - 3,144,000,000 = 3,930,000,000 { (Tsh 3.93 bilioni)}
4. Idadi ya walimu wanaoweza kuajiriwa:
Ikiwa mshahara wa mwalimu mmoja ni Tsh 700,000 kwa mwezi, basi idadi ya walimu wanaoweza kulipwa kwa pesa iliyookolewa ni:
3,930,000,000 ÷ 700,000= 5,614
Kama Tutapunguza Mishahara ya Wabunge tunaweza kuajiri walimu 5,614 kwa mshahara wa Tsh 700,000 kila mmoja kwa mwezi
Dah. Hizo data zinanifanya niende nikafanye udadisi mziri ila hata kabla sija prove .. machozi yanakaribia kunidondokaKila mwaka serikali inatumia kati ya billion 300 mpaka 500 kununua magari ya kifahari
Nchi inavipaumbele vibovu sana sijapata ona
Kama ni maskin na mtoto wako anasoma shule za serikali ni moja ya misfortune kubwa sana
Hawana hela za kuajiri walimu wote, ila hela za kuwalipa wabunge mamilioni ya shilingi kila mwezi kwa kazi ya kugonga meza, kuitikia ndiyooo, na kupiga vigeregere wanazo!Serikali haina hela ya kuajiri na kulipa walimu wote waliopo hapa nchini...huo ndio ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu🐼
Jamaa anatumika vibaya sana.Leo gerson msigwa akiongea na waandishi wa habari anasema serikali haiwezi kuajiri walimu wote kama ambavyo haiwezi kuajiri waandishi wa habari na fani zingine. Na akaongeza kwakusema kua serikali hua inaajiri walim kwa awamu kila mwaka.
Hapa ni siasa katika elimu kwakweli .
Ivi kweli :
1. Shule zinavojengwa kila siku na madarasa kuongezwa kila siku inaakisi namna wana ajiri walim hawa jamaa ??
Hayo madarasa na shule zinazoongezwa ni nani anafundisha ?
2. Kila siku idadi ya watoto tu ajisifu kua imepanda (enrolment) ni nani anawahudumia hao watoto huko shuleni ??
3. Mapato kila siku yanapanda. Kwanini wanagoma kuongeza fungu katika sekta ya elimu ili watoto wa walipa kodi wafundishwe vilivyo ???
Ivi wanawaona walipa kodi mazuzu kiasi gani kwamba pesa zao zisitumike kuelimisha watoto wao ???
4. Ratio ya walim kwa wanafunzi mbona hawajawah iongelea hawa jamaa ??
Ivi wanataka kusema pale TBC pana upungufu wa waandishi sawa na upungufu wa walim shuleni ?? Au TRA pana upungufu pale?? au NMB au CRDB.
Yani sehem za kuchumia matumbo yao na kujionyesha pana wafanyakazi wa kutosha, why not in schools ??
5. Improvement za mitaala kila siku, ni lini wata improve number of teachers in schools ili mitaala husika itekelezeke ??
6. Comrades ujinga, njaa na umasikini ni maadui wakuu wa mwanadamu. Kwanini TANZANIA tunamdharau sana adui ujinga kiasi cha kuhusudu mfumo legevu wa elimu ...
Mfumo usio na watekelezaji sera na miongozo wa kutosha ????
7. 2016 tuliambiwa after kuwatoa walimu wa vyeti feki wataajiri vijana ku replace zile nafasi .. ndugu zangu, ni lini nafasi za walimu wa vyeti feki zitazibwa ??? Elimu ni mbovu sana huko mashuleni walimu wapo overloaded sana.
Mwalim hawez hata kusaisha daftari za wanafunzi kwa weredi, sabab wanafunzi ni wengi sana.
Nimeenda mwanza pale nimekuta mwalimu kampa tiki mtoto akiwa ameandika kisukuma kwenye zoezi la somo la kingereza.
TANZANIA MNADHARAU SANA ELIMU NAWAAMBIA.
Wanasisa wanadhani waalim wanapambania tu kuajiriwa . Hapana mimi nasimamia ubora wa elim inayotolewa.
Nashauri wafanyishe interview na kila jambo hitajika. Ila mwisho wa siku wahakikishe mtoto wa kitanzania anapata watu wa kutosha kumhudumia akiwa shule. Ili apate ufahamu sawa na watoto wao Wanaosoma kwenye mashule makubwa yenye walim wa masomo yooooote.
KODI ZETU , NA WANAOSOMA HUKO MASHULENI NI WATOTO, WADOGO NA NDUGU ZETU. KODI ZITUMIKE KUAJIRI WAALIMU.
Usisingizie Mungu kwenye vitu vya ajabu. Yaani akili yako ndogo imefikia ukomo wa kufikiri afu unaanza kumsingizia Mungu kweli??Serikali haina hela ya kuajiri na kulipa walimu wote waliopo hapa nchini...huo ndio ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu🐼
Inaonekana uwezo wao wa kufikiri umefika mwisho. Yaani hawaelewi nini kinahitajika Kwa sababu Gani. Je Hawa akina Msigwa matapeli Hawa watatufikisha wapi maana ubunifu hawana ila wao wanajiona smart sana na special. Mbwa wewe Msigwa na hakika unge graduate miaka ya 2015 ungekufa Kwa stress. Narudia nyie Msigwa, mkenda na akina simbachawene ni mbwaHawana hela za kuajiri walimu wote, ila hela za kuwalipa wabunge mamilioni ya shilingi kila mwezi kwa kazi ya kugonga meza, kuitikia ndiyooo, na kupiga vigeregere wanazo!
Hawana hela ya kuaniri walimu wote, ila hela za kutapanya kwenye matumizi ya hovyo, wanazo!!
Halafu mbona mwenzao JK aliweza kuajiri walimu wote kila mwaka? Wao shida iko wapi kila mwaka wanaajiri walimu kiduchu, huku mashule yao mengi yakiwa na walimu wachache?
Msigwa kwanza ajiuzuru nafasi yake then ndo aje na hoja hiiLeo gerson msigwa akiongea na waandishi wa habari anasema serikali haiwezi kuajiri walimu wote kama ambavyo haiwezi kuajiri waandishi wa habari na fani zingine. Na akaongeza kwakusema kua serikali hua inaajiri walim kwa awamu kila mwaka.
Hapa ni siasa katika elimu kwakweli .
Ivi kweli :
1. Shule zinavojengwa kila siku na madarasa kuongezwa kila siku inaakisi namna wana ajiri walim hawa jamaa ??
Hayo madarasa na shule zinazoongezwa ni nani anafundisha ?
2. Kila siku idadi ya watoto tu ajisifu kua imepanda (enrolment) ni nani anawahudumia hao watoto huko shuleni ??
3. Mapato kila siku yanapanda. Kwanini wanagoma kuongeza fungu katika sekta ya elimu ili watoto wa walipa kodi wafundishwe vilivyo ???
Ivi wanawaona walipa kodi mazuzu kiasi gani kwamba pesa zao zisitumike kuelimisha watoto wao ???
4. Ratio ya walim kwa wanafunzi mbona hawajawah iongelea hawa jamaa ??
Ivi wanataka kusema pale TBC pana upungufu wa waandishi sawa na upungufu wa walim shuleni ?? Au TRA pana upungufu pale?? au NMB au CRDB.
Yani sehem za kuchumia matumbo yao na kujionyesha pana wafanyakazi wa kutosha, why not in schools ??
5. Improvement za mitaala kila siku, ni lini wata improve number of teachers in schools ili mitaala husika itekelezeke ??
6. Comrades ujinga, njaa na umasikini ni maadui wakuu wa mwanadamu. Kwanini TANZANIA tunamdharau sana adui ujinga kiasi cha kuhusudu mfumo legevu wa elimu ...
Mfumo usio na watekelezaji sera na miongozo wa kutosha ????
7. 2016 tuliambiwa after kuwatoa walimu wa vyeti feki wataajiri vijana ku replace zile nafasi .. ndugu zangu, ni lini nafasi za walimu wa vyeti feki zitazibwa ??? Elimu ni mbovu sana huko mashuleni walimu wapo overloaded sana.
Mwalim hawez hata kusaisha daftari za wanafunzi kwa weredi, sabab wanafunzi ni wengi sana.
Nimeenda mwanza pale nimekuta mwalimu kampa tiki mtoto akiwa ameandika kisukuma kwenye zoezi la somo la kingereza.
TANZANIA MNADHARAU SANA ELIMU NAWAAMBIA.
Wanasisa wanadhani waalim wanapambania tu kuajiriwa . Hapana mimi nasimamia ubora wa elim inayotolewa.
Nashauri wafanyishe interview na kila jambo hitajika. Ila mwisho wa siku wahakikishe mtoto wa kitanzania anapata watu wa kutosha kumhudumia akiwa shule. Ili apate ufahamu sawa na watoto wao Wanaosoma kwenye mashule makubwa yenye walim wa masomo yooooote.
KODI ZETU , NA WANAOSOMA HUKO MASHULENI NI WATOTO, WADOGO NA NDUGU ZETU. KODI ZITUMIKE KUAJIRI WAALIMU.
Huo ndio ukweli mchungu, hiyo hela haipo !Usisingizie Mungu kwenye vitu vya ajabu. Yaani akili yako ndogo imefikia ukomo wa kufikiri afu unaanza kumsingizia Mungu kweli??
Nchi ngumu sana hii. Hiki kikundi kinachoitwa ccma kisipo ondolewa madarakani mapema iwezekanavyo, hakika wananchi walio wengi watataabika sana. Nchi ina kila aina ya utajiri, lakini wanaofaidika zaidi ni wageni na wao wenyewe.Kila mwaka serikali inatumia kati ya billion 300 mpaka 500 kununua magari ya kifahari
Nchi inavipaumbele vibovu sana sijapata ona
Kama ni maskin na mtoto wako anasoma shule za serikali ni moja ya misfortune kubwa sana
Hiyo hela ya kuajiri walimu kila mwaka kwa sasa haipo...kila serikali na vipaumbele vyakeHawana hela za kuajiri walimu wote, ila hela za kuwalipa wabunge mamilioni ya shilingi kila mwezi kwa kazi ya kugonga meza, kuitikia ndiyooo, na kupiga vigeregere wanazo!
Hawana hela ya kuaniri walimu wote, ila hela za kutapanya kwenye matumizi ya hovyo, wanazo!!
Halafu mbona mwenzao JK aliweza kuajiri walimu wote kila mwaka? Wao shida iko wapi kila mwaka wanaajiri walimu kiduchu, huku mashule yao mengi yakiwa na walimu wachache?
Vipaumbele ndiyo hivi vya kuweka mabango nchi nzima ya kujifagilia, kununua magari ya kifahari, kuwalipa vigogo wastaafu pamoja na wake/waume zao mafao yasio na kichwa wala miguu, kuwasafirisha wasanii kwa ndege ya serikali kwenda kutalii Korea Kusini, kuwalipa mamilioni ya shilingi wabunge wa mchongo, kununua magoli ya Yanga na simba, kutoa hela za kujengea misikiti na makanisa ili mtupumbaze zaidi! Kufadhili matamasha ya kila aina, nk!Hiyo hela ya kuajiri walimu kila mwaka kwa sasa haipo...kila serikali na vipaumbele vyake
Safi sana! Mawazo mazuri sana. Yawekwe juu au kupewa thread mpya Mageuzi ya ElimuZianzishwe shule zenye mchepuo wa Kiingereza,AJIRA itaongekea kwenye "kuanzisha shule za "English medium".
Kama taifa hatutaki kukubali ukweli(English medium ni hitaji la wananchi walio wengi,kama tuna nia ya kutimiza kit ya wengi na kuacha ukiritimba,watoa maamuzi wafikirie namna nzuri ya kuanzisha shule zenye mchepuo wa kiingereza).
Zamani kila mwananchi alitamani kupata simu,lakini kukawa na ukiritimba wa kupata huduma ya simu,mpaka zilipokuja kampuni za simu za mkono zikatonesha namna ya kuhudumia na kuwafikia wananchi wenye kiu ya kupata huduma ya simu.Naona watoa maamuzi wanaogopa kuanzisha wazo,kushauri namna nzuri kama taifa tuharakishe utaratibu wa kuanzisha shule za mchepuo wa kiingereza.
Ni ukweli uliowazi watoa maamuzi na wananchi wa kati wamewapeleka watoto wao katika shule zenye mchepuo wa kiingereza.
Naamini uamuzi wa kuanzisha shule za mchepuo wa kiingereza(English medium),inaenda kufungua ajira kwa fundi hili la Walimu waliokosa ajira,ni suala utashi na sera tu, tunaenda kufungua ajira,kuwafungulia wanafunzi na wahitimu kuiona Dunia nyingine nje ya nchi yetu.
Hivi kwenda kwenye mkondo huu wa mchepuo wa kiingereza gharama yake ni kiasi gani?,kama gharama haijulikani tuache tuchukue hatua ya kufungua fursa kwa wengi wenye kiu hii.
Mbona,mitaala huwa mnabadili kwa muda mfupi na kutoa maelekezo,ni wapi hasa penye ugumu.
Visingizio ambavyo vinaitwa sababu za kutofikia malengo viorodheshwe ili msaidiwe kupata ufumbuzi.
Kundi kubwa la vijana hawana ajira,wapo mtaani wamepoteza matumaini na bahati mbaya sana hawana umahiri katika lugha yoyote ya kimataifa ambayo ingewasaidia kwenda nje ya mipaka yetu (hii ingepunguza mzigo kwa taifa,kama vile mzazi kukaa na mwanao nyumbani,siku akitoka nyumbani inakuwa nafuu kwako na kwake).
Wachezaji wengi timu za mpira ndani ya nchi yetu wanashindwa kwenda nje(madhara ya kuacha kutimiza kiu ya wengi kusoma kwa mchepuo wa kiingereza),kwa vile hawana mbinu ya kufuatilia na kutafuta nafasi nje ya mipaka yetu,nahisi na wao hawana uelewa wa lugha ya kimataifa kuwazesha kuiona Dunia nyingine nje ya mipaka ya nchi yetu.
Ushauri kwa watoa maamuzi,tuanze sasa kufikiria,kutatua tatizo kupitia Walimu waliokosa ajira,msisubiri kuulizwa maswali ya kukosena ajira wakati wa kampeni uchaguzi.
Wengi,hawasemi,wanawaangalia,mnafikiri hawaoni.
Wengi,wanatamani kuwapa changa moto hizi,lakini uhakika wa kupata usahihi wa majibu hawauoni.
Wengi,wanaamini ipo siku mtaelewa,lakini mtakuwa mmechelewa!!