Gerson Msigwa: Serikali haiwezi kuajiri kila mhitimu wa Chuo

Wakati wenzio wanawaza kujiongezea mishahara!
 
Dah. Ni hatari sana. ... Aloo. Mambo simple sana. Ila inahitaji viongozi wenye vision.
 
Kila mwaka serikali inatumia kati ya billion 300 mpaka 500 kununua magari ya kifahari
Nchi inavipaumbele vibovu sana sijapata ona

Kama ni maskin na mtoto wako anasoma shule za serikali ni moja ya misfortune kubwa sana
 
Kila mwaka serikali inatumia kati ya billion 300 mpaka 500 kununua magari ya kifahari
Nchi inavipaumbele vibovu sana sijapata ona

Kama ni maskin na mtoto wako anasoma shule za serikali ni moja ya misfortune kubwa sana
Dah. Hizo data zinanifanya niende nikafanye udadisi mziri ila hata kabla sija prove .. machozi yanakaribia kunidondoka
 
Serikali haina hela ya kuajiri na kulipa walimu wote waliopo hapa nchini...huo ndio ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu🐼
Hawana hela za kuajiri walimu wote, ila hela za kuwalipa wabunge mamilioni ya shilingi kila mwezi kwa kazi ya kugonga meza, kuitikia ndiyooo, na kupiga vigeregere wanazo!

Hawana hela ya kuajiri walimu wote, ila hela za kutapanya kwenye matumizi ya anasa na yasiyo ya lazima, wanazo!!

Halafu mbona mwenzao JK aliweza kuajiri walimu wote kila mwaka? Wao shida iko wapi kila mwaka wanaajiri walimu kiduchu, huku mashule yao mengi yakiwa na walimu wachache?
 
Jamaa anatumika vibaya sana.
 
Serikali haina hela ya kuajiri na kulipa walimu wote waliopo hapa nchini...huo ndio ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu🐼
Usisingizie Mungu kwenye vitu vya ajabu. Yaani akili yako ndogo imefikia ukomo wa kufikiri afu unaanza kumsingizia Mungu kweli??
 
Tuweke na sera hata chaka la siasa wanalojifichia wazee liwe mwisho 65. Haiwezekqni mtu aanze siasa akiwa na miaka 25 hadi 75 yeye ni mara mbunge, mkuu wa mkoa, balozi, katibu mkuu haiwezekani.

Miaka 65 LAZIMA utoke hata huko kwenye siasa ukalee wajukuu vijana wachukue positions.

Sasa mzee wa miaka 85 kwa mfano atatunga sera gani ya maana kumsaidia kijana wa miaka 24 kujiajiri.
 
Waongeze vyuo na wahotimu waomgezeke ifikapo mwaka 3000 tutapata fikra mpya kwa watu wapya
 
Inaonekana uwezo wao wa kufikiri umefika mwisho. Yaani hawaelewi nini kinahitajika Kwa sababu Gani. Je Hawa akina Msigwa matapeli Hawa watatufikisha wapi maana ubunifu hawana ila wao wanajiona smart sana na special. Mbwa wewe Msigwa na hakika unge graduate miaka ya 2015 ungekufa Kwa stress. Narudia nyie Msigwa, mkenda na akina simbachawene ni mbwa
 
Msigwa kwanza ajiuzuru nafasi yake then ndo aje na hoja hii
 
Usisingizie Mungu kwenye vitu vya ajabu. Yaani akili yako ndogo imefikia ukomo wa kufikiri afu unaanza kumsingizia Mungu kweli??
Huo ndio ukweli mchungu, hiyo hela haipo !
 
Kila mwaka serikali inatumia kati ya billion 300 mpaka 500 kununua magari ya kifahari
Nchi inavipaumbele vibovu sana sijapata ona

Kama ni maskin na mtoto wako anasoma shule za serikali ni moja ya misfortune kubwa sana
Nchi ngumu sana hii. Hiki kikundi kinachoitwa ccma kisipo ondolewa madarakani mapema iwezekanavyo, hakika wananchi walio wengi watataabika sana. Nchi ina kila aina ya utajiri, lakini wanaofaidika zaidi ni wageni na wao wenyewe.
 
Hiyo hela ya kuajiri walimu kila mwaka kwa sasa haipo...kila serikali na vipaumbele vyake
 
Hiyo hela ya kuajiri walimu kila mwaka kwa sasa haipo...kila serikali na vipaumbele vyake
Vipaumbele ndiyo hivi vya kuweka mabango nchi nzima ya kujifagilia, kununua magari ya kifahari, kuwalipa vigogo wastaafu pamoja na wake/waume zao mafao yasio na kichwa wala miguu, kuwasafirisha wasanii kwa ndege ya serikali kwenda kutalii Korea Kusini, kuwalipa mamilioni ya shilingi wabunge wa mchongo, kununua magoli ya Yanga na simba, kutoa hela za kujengea misikiti na makanisa ili mtupumbaze zaidi! Kufadhili matamasha ya kila aina, nk!

OK. Yana mwisho haya. Siku M20 wakiingia mjini msije mkashangaa wananchi wakiwashangalia.
 
Zianzishwe shule zenye mchepuo wa Kiingereza,AJIRA itaongekea kwenye "kuanzisha shule za "English medium".

Kama taifa hatutaki kukubali ukweli(English medium ni hitaji la wananchi walio wengi,kama tuna nia ya kutimiza kit ya wengi na kuacha ukiritimba,watoa maamuzi wafikirie namna nzuri ya kuanzisha shule zenye mchepuo wa kiingereza).

Zamani kila mwananchi alitamani kupata simu,lakini kukawa na ukiritimba wa kupata huduma ya simu,mpaka zilipokuja kampuni za simu za mkono zikatonesha namna ya kuhudumia na kuwafikia wananchi wenye kiu ya kupata huduma ya simu.Naona watoa maamuzi wanaogopa kuanzisha wazo,kushauri namna nzuri kama taifa tuharakishe utaratibu wa kuanzisha shule za mchepuo wa kiingereza.

Ni ukweli uliowazi watoa maamuzi na wananchi wa kati wamewapeleka watoto wao katika shule zenye mchepuo wa kiingereza.

Naamini uamuzi wa kuanzisha shule za mchepuo wa kiingereza(English medium),inaenda kufungua ajira kwa fundi hili la Walimu waliokosa ajira,ni suala utashi na sera tu, tunaenda kufungua ajira,kuwafungulia wanafunzi na wahitimu kuiona Dunia nyingine nje ya nchi yetu.

Hivi kwenda kwenye mkondo huu wa mchepuo wa kiingereza gharama yake ni kiasi gani?,kama gharama haijulikani tuache tuchukue hatua ya kufungua fursa kwa wengi wenye kiu hii.

Mbona,mitaala huwa mnabadili kwa muda mfupi na kutoa maelekezo,ni wapi hasa penye ugumu.
Visingizio ambavyo vinaitwa sababu za kutofikia malengo viorodheshwe ili msaidiwe kupata ufumbuzi.

Kundi kubwa la vijana hawana ajira,wapo mtaani wamepoteza matumaini na bahati mbaya sana hawana umahiri katika lugha yoyote ya kimataifa ambayo ingewasaidia kwenda nje ya mipaka yetu (hii ingepunguza mzigo kwa taifa,kama vile mzazi kukaa na mwanao nyumbani,siku akitoka nyumbani inakuwa nafuu kwako na kwake).

Wachezaji wengi timu za mpira ndani ya nchi yetu wanashindwa kwenda nje(madhara ya kuacha kutimiza kiu ya wengi kusoma kwa mchepuo wa kiingereza),kwa vile hawana mbinu ya kufuatilia na kutafuta nafasi nje ya mipaka yetu,nahisi na wao hawana uelewa wa lugha ya kimataifa kuwazesha kuiona Dunia nyingine nje ya mipaka ya nchi yetu.

Ushauri kwa watoa maamuzi,tuanze sasa kufikiria,kutatua tatizo kupitia Walimu waliokosa ajira,msisubiri kuulizwa maswali ya kukosena ajira wakati wa kampeni uchaguzi.

Wengi,hawasemi,wanawaangalia,mnafikiri hawaoni.

Wengi,wanatamani kuwapa changa moto hizi,lakini uhakika wa kupata usahihi wa majibu hawauoni.

Wengi,wanaamini ipo siku mtaelewa,lakini mtakuwa mmechelewa!!
 
Serikali inafanya drama kwenye mambo ya kipuuzi kama Magoli, wasanii na anasa za maV8 mengi. Serikali ajiri waalimu wote...bila masharti. Halafu itoe seminar kuwabrash ...ili kuboresha ufundishaji. Machawa acheni upumbafu, hata wadogo zenu wanaumia
 
Safi sana! Mawazo mazuri sana. Yawekwe juu au kupewa thread mpya Mageuzi ya Elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…