Gerson Msigwa: Serikali inajua kila kitu kinachoendelea. Yoyote anayefanya makosa anaweza kufikiwa

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Akizungumza leo kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa alisema:

"Nataka niseme kwamba serikali inajua kila kitu kinachoendelea na tunaweza kupata taarifa na tunaweza kumfikia mtu yoyote. Tunatambua wako wanaendesha vyombo vya habari vya mtandaoni kutoka nje ya nchi. Na sisi kama nchi tunalinda anga letu na mtu yoyote anayefanya makosa anaweza kufikiwa"

Your browser is not able to display this video.
 
Ni kweli, hata wasiojulikana inawajua, lakini haiwezi kufanya kitu kwa sababu iko nyuma yao!
 
Katibu Mkuu mjinga kuwahi kutokea baada ya Abas wa Maliasili ni huyu.
 
Ku
Kuongea na kutenda ni vitu viwili tofauti
 
Yuko Sahihi kabisa serikali siku zote ina mkono mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…