Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 7,247
- 8,682
Parasite!!Ni jambo jema
Huwezi kujifucha Chini ya jua 🐼
Parasite!!Ni jambo jema
Huwezi kujifucha Chini ya jua 🐼
Rekebisheni mambo yanayolalamikiwa muone kama.watu watatukana. Acha kukimbilia kusema sijui vyombo vya habari vinatumiwa na watu walioko nje. Hayo ni yako na wenzake. Tatueni kero za wananchi zinazosababisha watukanwe.Akizungumza leo kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa alisema:
"Nataka niseme kwamba serikali inajua kila kitu kinachoendelea na tunaweza kupata taarifa na tunaweza kumfikia mtu yoyote. Tunatambua wako wanaendesha vyombo vya habari vya mtandaoni kutoka nje ya nchi. Na sisi kama nchi tunalinda anga letu na mtu yoyote anayefanya makosa anaweza kufikiwa"
Serikali ikiamua inaweza,angalia polisi mmoja akiibiwa jinsi polisi wanavyotumia nyenzo zao,muda mfupi mwizi ameishakamatwa na ushaidi.