na makalio makubwaaaaYuko Sahihi kabisa serikali siku zote ina mkono mrefu.
Kenge kabisa, uwafikie ili iweje? Ndio ajira zitakuwa, nyingi?Akizungumza leo kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa alisema:
"Nataka niseme kwamba serikali inajua kila kitu kinachoendelea na tunaweza kupata taarifa na tunaweza kumfikia mtu yoyote. Tunatambua wako wanaendesha vyombo vya habari vya mtandaoni kutoka nje ya nchi. Na sisi kama nchi tunalinda anga letu na mtu yoyote anayefanya makosa anaweza kufikiwa"
😂😂😂😂Mashine yenyewe mbona inaonekana mbovu...🙄
Na Bado wanatekwaBila vitisho hamuwezi ongoza nchi eti?
Mbona Mimi nmejificha chini ya manyonyo makubwa yale ya......Ni jambo jema
Huwezi kujifucha Chini ya jua 🐼
😅😅Kenge kabisa, uwafikie ili iweje? Ndio ajira zitakuwa, nyingi?
Mpuuzi kabisa, elimu yenyewe ya kuunga unhappy, analeta mikwara mbuzi!
Huyo fala anamtisha nani sasa.Akizungumza leo kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa alisema:
"Nataka niseme kwamba serikali inajua kila kitu kinachoendelea na tunaweza kupata taarifa na tunaweza kumfikia mtu yoyote. Tunatambua wako wanaendesha vyombo vya habari vya mtandaoni kutoka nje ya nchi. Na sisi kama nchi tunalinda anga letu na mtu yoyote anayefanya makosa anaweza kufikiwa"
Akizungumza leo kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa alisema:
"Nataka niseme kwamba serikali inajua kila kitu kinachoendelea na tunaweza kupata taarifa na tunaweza kumfikia mtu yoyote. Tunatambua wako wanaendesha vyombo vya habari vya mtandaoni kutoka nje ya nchi. Na sisi kama nchi tunalinda anga letu na mtu yoyote anayefanya makosa anaweza kufikiwa"
Hao wanaiba na wakubwa hawezi kuwatishiaAkwende zake huko kina Rostam hawana taarifa zao?