Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari imepitwa na wakati lakini lazima tuweke kumbukumbu ya propaganda hii.Duh hii nayo ni habari au? Mbona kama imepitwa na wakati sasa?
Ni bahati mbaya hata alichokuwa anakiongea alikuwa hakielewi. Tuna tatizo kubwa sana.Huyu jamaa si angekaaga kimya tu. Au akiongeaga anapata bonus
Sure mkuu ni jambo la aibu sana eti serikali kutolea ufafanuzi petty issues kama hizo wakati kuna mambo yanayoumiza wananchi kila siku hayafanyiwi kazi.Habari imepitwa na wakati lakini lazima tuweke kumbukumbu ya propaganda hii.
Ndo kazi yake mkuuHuyu jamaa si angekaaga kimya tu. Au akiongeaga anapata bonus
Msigwa nae aache kutaka sifa hili ni tatizo la dunia nzima sasa yeye ni nani hadi awasiliane na wahusika kwani anadhani ni Tanzania tu limetokea hili tatizo la mitandao.Msemaji mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa ametoa wito kwa wananchi wote kuwa watulivu wakati serikali inawasiliana na makampuni ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu changamoto ya kukosekana kwa huduma ya mawasiliano ya mitandao hiyo.
Huduma za mitandao hiyo zilikwama kwa saa kadhaa tarehe 04 Oktoba 2021.
Taarifa hiyo ya wito wa serikali iliyotolewa usiku wa tarehe 4 Oktoba 2021 haikuwezekana kusambaa haraka kama ilivyo kawaida kwa kuwa mitandao hiyo ya kijamii haikuwa hewani.
Hata hivyo, baada ya juhudi mbalimbali za wataalamu huduma hizo zilirejea baadae usiku wa kuamkia tarehe 05 Oktoba 2021.
Kwa hatua hiyo serikali imeonesha kujali wananchi wake na kuthamini umuhimu wa mawasiliano. Pongezi kwa serikali.
View attachment 1964256
Wao wanawaza TozoHivi hizi fb, twitter and insta, si private entities au ni public bodies ? siku mmiliki wao akisema anaifunga kwa sababu tu ya kuchoka kupokea fedha, tutakimbilia wapi kama serikali? kwa nini serikali yetu nayo isianzishe kitu kama huko Egypt ambayo FB imepigwa marufuku au kama huko China wenye wechat au Russia wenye telegram?
Ndio kazi yake mkuu. Ni msemaji...kazi ni kusema.Msigwa nae aache kutaka sifa hili ni tatizo la dunia nzima sasa yeye ni nani hadi awasiliane na wahusika kwani anadhani ni Tanzania tu limetokea hili tatizo la mitandao.
Mkuu, Kazi yake ni usemajiHuyu jamaa si angekaaga kimya tu. Au akiongeaga anapata bonus
πππππ€Έπ€Έπ€Έπ€ΈMsemaji mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa ametoa wito kwa wananchi wote kuwa watulivu wakati serikali inawasiliana na makampuni ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu changamoto ya kukosekana kwa huduma ya mawasiliano ya mitandao hiyo.
Huduma za mitandao hiyo zilikwama kwa saa kadhaa tarehe 04 Oktoba 2021.
Taarifa hiyo ya wito wa serikali iliyotolewa usiku wa tarehe 4 Oktoba 2021 haikuwezekana kusambaa haraka kama ilivyo kawaida kwa kuwa mitandao hiyo ya kijamii haikuwa hewani.
Hata hivyo, baada ya juhudi mbalimbali za wataalamu huduma hizo zilirejea baadae usiku wa kuamkia tarehe 05 Oktoba 2021.
Kwa hatua hiyo serikali imeonesha kujali wananchi wake na kuthamini umuhimu wa mawasiliano. Pongezi kwa serikali.
View attachment 1964256
Huduma ilivyorejeshwa, msemaji mkuu wa serikali alitumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kutaarifu kuhusu kurudi kwa huduma hiyo.
View attachment 1964500