Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu ni wajinga Sana, Machadema ni mapuuzi balaa yalizani kupotea kwa hiyo mitandao ni kwa sababu ya kuwekwa ndani Mbowe na wapuuzi wengine.Msemaji mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa ametoa wito kwa wananchi wote kuwa watulivu wakati serikali inawasiliana na makampuni ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu changamoto ya kukosekana kwa huduma ya mawasiliano ya mitandao hiyo.
Huduma za mitandao hiyo zilikwama kwa saa kadhaa tarehe 04 Oktoba 2021.
Taarifa hiyo ya wito wa serikali iliyotolewa usiku wa tarehe 4 Oktoba 2021 haikuwezekana kusambaa haraka kama ilivyo kawaida kwa kuwa mitandao hiyo ya kijamii haikuwa hewani.
Hata hivyo, baada ya juhudi mbalimbali za wataalamu huduma hizo zilirejea baadae usiku wa kuamkia tarehe 05 Oktoba 2021.
Kwa hatua hiyo serikali imeonesha kujali wananchi wake na kuthamini umuhimu wa mawasiliano. Pongezi kwa serikali.
View attachment 1964256
Huduma ilivyorejeshwa, msemaji mkuu wa serikali alitumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kutaarifu kuhusu kurudi kwa huduma hiyo.
View attachment 1964500
Mpuuzi upuuzweKuna watu ni wajinga Sana, Machadema ni mapuuzi balaa yalizani kupotea kwa hiyo mitandao ni kwa sababu ya kuwekwa ndani Mbowe na wapuuzi wengine.
Jana nimesikiliza BBC kumbe lilikuwa tatizo la Dunia nzima na wahusika wameomba radhi kwamba kulitokea shida wakati wanafanya upgrade ya mitambo.
Mkuu mimi wakat nasom hii post ,nimeshindwa vumilia najiona kituko kwa duniaDah aibu nimeona mimi..
Mdo wake tu ukiutazama unapata majibi ya akili yake ilivyoHuyu jamaa si angekaaga kimya tu. Au akiongeaga anapata bonus
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Tena mumtume Kingai na Mahita wakamkamate huyo MAKI ZUKABAGI kwanini anaihujumu serikali ya awamu ya 6.
Kazi na cheo chake ni kusema sema msemaji. Watanzania wanafanywa mzuzu sana kwa kukosa maarifaHuyu jamaa si angekaaga kimya tu. Au akiongeaga anapata bonus
Mbona kipindi kile wao wamefungia twitter Tanzania na kuslow down ikiwemo seeving mitandao hasa Whatsapp hawakuwasiliana (uchuro) ili waifungueMsemaji mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa ametoa wito kwa wananchi wote kuwa watulivu wakati serikali inawasiliana na makampuni ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu changamoto ya kukosekana kwa huduma ya mawasiliano ya mitandao hiyo.
Huduma za mitandao hiyo zilikwama kwa saa kadhaa tarehe 04 Oktoba 2021.
Taarifa hiyo ya wito wa serikali iliyotolewa usiku wa tarehe 4 Oktoba 2021 haikuwezekana kusambaa haraka kama ilivyo kawaida kwa kuwa mitandao hiyo ya kijamii haikuwa hewani.
Hata hivyo, baada ya juhudi mbalimbali za wataalamu huduma hizo zilirejea baadae usiku wa kuamkia tarehe 05 Oktoba 2021.
Kwa hatua hiyo serikali imeonesha kujali wananchi wake na kuthamini umuhimu wa mawasiliano. Pongezi kwa serikali.
View attachment 1964256
Huduma ilivyorejeshwa, msemaji mkuu wa serikali alitumia kurasa zake za mitandao ya kijamii kutaarifu kuhusu kurudi kwa huduma hiyo.
View attachment 1964500
Atafanya hivyo. Mambo ni mdogo mdogo.Next time Tanesco wanapokata umeme bila taarifa tunaomba utujuze
Kasema TCRA ndio wata(nge)wasiliana nae.Mark hamjui Msigwa aache mbwembwe bhana...
Msemaji mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa ametoa wito kwa wananchi wote kuwa watulivu wakati serikali inawasiliana na makampuni ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu changamoto ya kukosekana kwa huduma ya mawasiliano ya mitandao hiyo.