Gerson Msigwa: Serikali inawasiliana na watoa huduma wa mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu kukosekana kwa huduma

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nchi hii bana. Yaan wanashindwa kupunguza bando wanaongelea yasiyowahusu
 
Tunaishukuru awamu ya sita serikali ya ccm kwa kuturejea mtandao
 
Unaacha kushughulikia tozo unakuja kuangaika na mtu ambaye kukosekana huduma kwa platform zake ndani ya masaa kadhaa amepoteza mabillion ambayo ni bajet ya serikali yetu... haya hata akiziondoa nikuulize we msigwa utamfanya nini yule bwana mdogo 37 yrs old [emoji3][emoji3]
 
Msigwa hana kazi kufanya....namuonea huruma sasa....hajui nini afanye pole sana .....
 
Msigwa nae aache kutaka sifa hili ni tatizo la dunia nzima sasa yeye ni nani hadi awasiliane na wahusika kwani anadhani ni Tanzania tu limetokea hili tatizo la mitandao.
 
Wao wanawaza Tozo
 
Msigwa nae aache kutaka sifa hili ni tatizo la dunia nzima sasa yeye ni nani hadi awasiliane na wahusika kwani anadhani ni Tanzania tu limetokea hili tatizo la mitandao.
Ndio kazi yake mkuu. Ni msemaji...kazi ni kusema.
 
Nilikuwa namwona jamaa anajielewa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€Έ
 
DPC mbona anachemka sana? Hiyo Outage ilikuwa Globally and not Tanzania Only sasa yeye awasiliane na Facebook then Insta then Whatsapp wakati mmiliki ni mmoja? Kwanini asiseme anawasiliana na Facebook Inc? Ingekuwa hizo social media hazipatikani TZ peke yake statement yake ingekuwa na maana.
 
Jana malipo ya LUKU yamezingua hawakutoa taarifa ,ila Mambo ya nje ambayo yapo juu ya uwezo wao wapo makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…