Gerson Msigwa: Serikali inawasiliana na watoa huduma wa mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu kukosekana kwa huduma

Wakati wa uchaguzi 2020 October serikali iliwasiliana nao kufunga na kufungua mitandao?
 
Sasa ni rasmi serikali ya Tonzonia inawaona wananchi washamba na wajinga.
Imagine tatizo la kimtandao ambalo limeikumba dunia mzima ila hapa Tonzonia wanataka waingize siasa
 
Kuna watu ni wajinga Sana, Machadema ni mapuuzi balaa yalizani kupotea kwa hiyo mitandao ni kwa sababu ya kuwekwa ndani Mbowe na wapuuzi wengine.

Jana nimesikiliza BBC kumbe lilikuwa tatizo la Dunia nzima na wahusika wameomba radhi kwamba kulitokea shida wakati wanafanya upgrade ya mitambo.
 
Mpuuzi upuuzwe
 
Msigwa bwana hebu achana na hayo ya mitandao, tumeshawapigia wamerudisha. Tusaidie hili la hujuma dhidi ya Rais wetu mpendwa kuwa ameondoa tozo na bei ya mafuta imeongezeka.
 
Yeye amuulize Zuckerbarg na Zuckebarg atamuuliza mbona huko kwenu mnakatakata umeme sijui atamjibu nini.
 
Mbona kipindi kile wao wamefungia twitter Tanzania na kuslow down ikiwemo seeving mitandao hasa Whatsapp hawakuwasiliana (uchuro) ili waifungue

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Next time Tanesco wanapokata umeme bila taarifa tunaomba utujuze
 
Jamaa muongo huyu!!!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…