GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Gharama ya Tsh Milioni 20 kwa kila Goli na kutoa Ndege ya bure kwa Yanga SC iliyookoa Tsh Milioni 200 nina uhakika zingepelekwa pia Kulipia Maiti nyingi zilizozuiliwa Kutolewa katika Mochwari za Hospital Kubwa mbalimbali nchini Tanzania zingetosha na angepata Sifa zaidi kuliko anakozipeleka sasa.
Ilikuwa mikioni 5 kwa kila goli mojaKipindi Simba nayo inachukua hizi hela Maiti ziilikuwa hazizuiliwi?
Unakurupuka sana, Serikali ilishapiga marufuku kuzuia maiti kama Bado wanafanya ndio wale wapuuzi a TRA waliomwambia PM hawafanyii kazi maagizo ya siasa ila hili agizo lilitolewa..Gharama ya Tsh Milioni 20 kwa kila Goli na kutoa Ndege ya bure kwa Yanga SC iliyookoa Tsh Milioni 200 nina uhakika zingepelekwa pia Kulipia Maiti nyingi zilizozuiliwa Kutolewa katika Mochwari za Hospital Kubwa mbalimbali nchini Tanzania zingetosha na angepata Sifa zaidi kuliko anakozipeleka sasa.
Michezo Ina fungu lake kwa raisGharama ya Tsh Milioni 20 kwa kila Goli na kutoa Ndege ya bure kwa Yanga SC iliyookoa Tsh Milioni 200 nina uhakika zingepelekwa pia Kulipia Maiti nyingi zilizozuiliwa Kutolewa katika Mochwari za Hospital Kubwa mbalimbali nchini Tanzania zingetosha na angepata Sifa zaidi kuliko anakozipeleka sasa.
We kumpinga Rais kazi kweli kweli, Yale Yale ya ndungai, hapo ni nyuzi za kumponda tu kwa watu tusiojulikana, maana wanaojulikana Kama kina ndungai unatumbuliwa au kuzongwa achia ngazi.Gharama ya Tsh Milioni 20 kwa kila Goli na kutoa Ndege ya bure kwa Yanga SC iliyookoa Tsh Milioni 200 nina uhakika zingepelekwa pia Kulipia Maiti nyingi zilizozuiliwa Kutolewa katika Mochwari za Hospital Kubwa mbalimbali nchini Tanzania zingetosha na angepata Sifa zaidi kuliko anakozipeleka sasa.
Maria orphanage wamelala njaa wewe na pimbi wenzio mnashindana kunyweshana bia bar...hapo mtaani hakuna wenye pesa wachangie maria orphanage?Huyu mama anatapatapa na Udhamini uchwara anaofanya.
Kimsingi kuna vitu vingi angefanya hata kupeleka huko kwenye hospital au watoto wa Maria ophanage wamelala njaa siku 2 za nyuma kisa msosi mdogo.
Hata atoe ngapi bado hana mvuto wa kisaisa na watanzania tunaombea muda wake uishe harakaharaka tupumue
Kwani rais ndio aliwaambia wafe?Gharama ya Tsh Milioni 20 kwa kila Goli na kutoa Ndege ya bure kwa Yanga SC iliyookoa Tsh Milioni 200 nina uhakika zingepelekwa pia Kulipia Maiti nyingi zilizozuiliwa Kutolewa katika Mochwari za Hospital Kubwa mbalimbali nchini Tanzania zingetosha na angepata Sifa zaidi kuliko anakozipeleka sasa.
Gharama ya Tsh Milioni 20 kwa kila Goli na kutoa Ndege ya bure kwa Yanga SC iliyookoa Tsh Milioni 200 nina uhakika zingepelekwa pia Kulipia Maiti nyingi zilizozuiliwa Kutolewa katika Mochwari za Hospital Kubwa mbalimbali nchini Tanzania zingetosha na angepata Sifa zaidi kuliko anakozipeleka sasa.
Kama kuna maiti wako mochwari sema tukuchangie ukaikomboe!Gharama ya Tsh Milioni 20 kwa kila Goli na kutoa Ndege ya bure kwa Yanga SC iliyookoa Tsh Milioni 200 nina uhakika zingepelekwa pia Kulipia Maiti nyingi zilizozuiliwa Kutolewa katika Mochwari za Hospital Kubwa mbalimbali nchini Tanzania zingetosha na angepata Sifa zaidi kuliko anakozipeleka sasa.