Gerson Msigwa tumia taaluma yako kukwepa kuonekana unafanya kazi za Jaffar Haniu

Gerson Msigwa tumia taaluma yako kukwepa kuonekana unafanya kazi za Jaffar Haniu

Mbona zilikua tofauti ,kipindi MSIGWA yupo IKULU ,msemaji wa serikali alikua Dr Abbas ,na zilikua zinaonekana tofauti Sana ,msemaji wa serikali anazungumzia Kwa ujumla yote ya serikali tofauti na IKULU ..Dr Abbas Alifanya kazi yake vizuri
 
Back
Top Bottom