PostGE2025 Gerson Msigwa: Tusiendelee kushabikia matukio yaliyotokea Oktoba 29

PostGE2025 Gerson Msigwa: Tusiendelee kushabikia matukio yaliyotokea Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Kumejitokeza wimbi kubwa la vyombo vya habari hasa vyombo vya habari vya nje kuchapisha na kutangaza habari ambazo ni za upande mmoja na wakati mwingine kufanya upotoshaji wa taarifa wenye mrengo wa kuchochea chuki kwa watanzania dhidi ya Serikali, kuwagombanisha Watanzania wenyewe kwa wenyewe kutokana na tofauti za kisiasa kidini na kikanda"

"Kuendelea kuyashabikia matukio yale au kuchochea kwa kutangaza na kuchapisha maudhui yenye kuzua taharuki, kupotosha ama kutia hasira watu kwa namna ambayo vyombo vya habari vya nje au wanaojiita wanaharakati au wenye maslahi ya kisiasa wanafanya hakuna manufaa kwa taifa letu"- Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa

 
Wapuuzi sana hawa,
Kwa hio tukae kimya kama hakuna kilichotokea ?
 
MImi naendelea kushabikia ndio naongeza kasi ya kuyatangaza na kuwaelimisha watu zaidi ili wajue ukweli na lolote hamniganyi wauaji wakubwa niye
 
Anataka wachapishe nini?rais haramu akimwapisha mkazamwana na mwanae?
 
Hatuongelei tena mzee baba, ilishasemwa yale ni mambo ya teknolojia ya sasa AI
 
Back
Top Bottom