Hatushabikii ndiyo uhalisia wa maisha tunayoishi nchi hii.
CCM na POLISI, wana teka, wanapiteza na wanauwa watu kila sekunde ipitayo.
sisi tuna taka D9 tuendelee bila kikomo hakuna shule, chuo, ofisi ya serikali kufunguliwa mpaka ccm na mapolisi yao majambazi yaondoke.