GE2025 Gerson Msigwa: Watu kupotea ni michezo na hii haikuanza leo

GE2025 Gerson Msigwa: Watu kupotea ni michezo na hii haikuanza leo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, anasema kumekuwa na michezo ya watu kujifanya wamepotea lakini baada ya uchunguzi wa mamlaka za usalama zinabaini hakuna ukweli ni michezo tu.

 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 

Attachments

  • Happy Nyerere Day, endelea kupumzika kwa amani baba wa Taifa letu Tanzania 🇹🇿 Amen 🙏🙏❤️❤️.mp4
    3.3 MB
Ni bora angekaa kimya asingezungumzia utekaji kama wenzake kuliko kuongea maneno ya hovyo
 
Yaani jitu lina masters sijui, lkn linaongea kama linamtindio wa ubongo, masikini akipata matako hulia mbata, ubinafsi umeshika hatamu.
 
Back
Top Bottom