GE2025 Gerson Msigwa: Watu kupotea ni michezo na hii haikuanza leo

GE2025 Gerson Msigwa: Watu kupotea ni michezo na hii haikuanza leo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
WAkishashiba damu za watu, huongea vyovyote tu watakavyo...
 
Kwaiyo ali kibao pia yalikuwa maigizo, mdude pia maigizo, sativa pia nimaigizo kwanini hamkukamata sativa nakumfungulia kesi
 
Back
Top Bottom