Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Ule ni mshahara wa umma sio hela ya bi mkubwaYaaaani wewe ulitegemea mshahara wa Bi Mkubwa uende bure bure tuu?
Mathematically:
Product = input! (no waste products!!!)
According to you, mkuu. Uhalisia wenyewe proves you quite wrong.Ule ni mshahara wa umma sio hela ya bi mkubwa
Anajaribu kuleta ufafanuzi mzuri kwenye jamii ila kama anasoma hapa atajua kipi anatakiwa kukifanya au kukiboresha namuamin sana kaka angu anapenda kujifunza kila siku kutoka kwa watu walio mzidi maarifaMwachiluwi hata mimi ni mdogo wangu yule, tuliteseka wote kipindi alipokuwa Ruvuma.
Maeneo kama Mpitimbi, Litola, Mtakanini, Mlete, Mletele, Hanga monasteli, Madaba, Mahanje Mission na kwingineko kote huko, tuliambatana wote.
Tatizo, kwenye hilo la BANDARI, ni mweupe. Awaache wenye uelewa kwenye hayo mawanda waliseme.
Na kwa bahati mbaya, jambo lolote usilolijua, kwa jinsi unavyozidi kulitetea au kulielezea, ndivyo unavyozidi kuonekana ni kwa kiasi gani hulijui jambo hilo..!!Aisee, kama yupo binadamu anayetoa povu la utetezi kwenye hilo la DPW basi ni Gerson!
Unajiuliza, kwa nini anatumia nguvu namna ile? Ya nini jambo linaloonyesha hana japo theluthi ya uelewa kwalo analazimisha kulitetea hali inayopelekea mwisho wa siku anaonekana mburula tu mbele ya welevu?!
Huenda anatetea ugali wake, lakini, ya nini basi asiwe anaambatana na mwanasheria japo mmoja wa Serikali ili pamoja na yote awe anamsaidia kudadavua baadhi ya mambo yahusuyo sheria?
Gerson, punguza kujipendekeza basi, unajianika!
Amesikia kaka mkubwaMwachiluwi anapenda kutoa ufafanuzi sawa lakini kwenye hilo la BANDARI ufafanuzi haumpendi!
Kwa faida yake, siku nyingine akitaka kulitolea ufafanuzi aambatane na mwanasheria wa Serikali ili endapo kutatokea ukakasi kwenye hayo mawanda, asaidiwe na mtaaluma.
Vinginevyo, atazidi kujiharibia tu.
Hawa ndio wote wanaosema Dubai ni nchiAisee, kama yupo binadamu anayetoa povu la utetezi kwenye hilo la DPW basi ni Gerson!