Gerson Msigwa ya nini unateseka namna hiyo?

Ni Chizi huyo jamaa aliyekosa Maarifa yaani huyo jamaa ni "Chizi Maarifa"
 
Aisee, kama yupo binadamu anayetoa povu la utetezi kwenye hilo la DPW basi ni Gerson!

Unajiuliza, kwa nini anatumia nguvu namna ile? Ya nini jambo linaloonyesha hana japo theluthi ya uelewa kwalo analazimisha kulitetea hali inayopelekea mwisho wa siku anaonekana mburula tu mbele ya welevu?!

Huenda anatetea ugali wake, lakini, ya nini basi asiwe anaambatana na mwanasheria japo mmoja wa Serikali ili pamoja na yote awe anamsaidia kudadavua baadhi ya mambo yahusuyo sheria?

Gerson, punguza kujipendekeza basi, unajianika!
Hivi Magufuli alimuokota wapi huyu mtu...!!?
 
hahaha Msemaji anapenda kufafanua ila ufafanuzi haumpendi na umemkataa kabisa, chezea sheria watu wanaona mbona lugha iliyotumika ni kingereza cha kawaida ila wanasheria wanaona ni lugha ya kisheria. hapo ndio lugha gongana inaanza.

ndio maana kuna mtu aliweka mada isomekayo kuwa" tatizo watz hawajui kingereza, mkataba hauna shida" unabaki unacheka, nikajua hajui kuwa iliyotumika ni sheria, na si kingereza.
 
Tayari umeshasema mkuu.., ni ugali wake ndio unaomhangaisha, kuwa mnafiki nikazi ngumu sana.
 
Huyu ndio msemaji kilaza kuliko wasemaji wote wa nchi zingine
 
Naona hoja zimekwisha na sasa watu binafsi wanaanza kushambuliwa!
 
hahaha Msemaji anapenda kufafanua ila ufafanuzi haumpendi na umemkataa kabisa, chezea sheria watu wanaona mbona lugha iliyotumika ni kingereza cha kawaida ila wanasheria wanaona ni lugha ya kisheria. hapo ndio lugha gongana inaanza.

ndio maana kuna mtu aliweka mada isomekayo kuwa" tatizo watz hawajui kingereza, mkataba hauna shida" unabaki unacheka, nikajua hajui kuwa iliyotumika ni sheria, na si kingereza.
Mbona watanzania wameelewa sasa?!!!!
 
najua akiwa
Tayari umeshasema mkuu.., ni ugali wake ndio unaomhangaisha, kuwa mnafiki nikazi ngumu sana.
najua akiwa alone, atakuwa anacheka sana maana ni kazi sana, anafanya kazi ngumu sana yeye mwenyewe ukimwangalia vizuri usoni na anachokisema havioani. daha kwa dpw imeleta mengi
Naona hoja zimekwisha na sasa watu binafsi wanaanza kushambuliw
Mbona watanzania wameelewa sasa?!!!!
nakubaliana na wewe, hata mimi nimeelewa, nimeelewa nini? it is subjective
 
Msigwa kile cheo ni ngekewa tu, kinapwaya, hana mvuto wote akiongea, ni akili ndogo sana
 
Naona hoja zimekwisha na sasa watu binafsi wanaanza kushambuliwa!
Bado, hiyo affiliated entities za DP World ni zipi hizo zilizotajwa kwenye makubaliano? Isije kuwa Hata team Pable Escobar nao ni affiliate!
 
Back
Top Bottom