komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Alitakiwa kusema tangu mwaka ........ mpaka mwaka........... kesi za upoteaji zilizoripotiwa polisi ni.......... Na kati ya idadi hiyo,, watuMsemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema matukio yanayoripotiwa Polisi kuhusu utekaji nchini mengi yanabainika kuwa ni ya uongo.
"Kuna matukio yanatangazwa kwenye mitandao na vyombo vya Habari mtu katekwa, nataka nikwambie katika matukio yote yaliyoripotiwa polisi kwa mfano, zaidi ya asilimia 80 au 90 mpaka sasa, imethibitishwa kwamba hawakutekwa. [..] Sio kila mtu ambaye haonekani ametekwa." -
Source: Swahili Times
......... walikutwa kwa mahawara zao, Watu............ hawajulikani walipo na watu .........walithibitika kufa. Tofauti na hapo inaitwa ni porojo tu anasema.