Gerson Msigwa: Zaidi ya 80% ya taarifa za utekaji hazina ukweli

Alitakiwa kusema tangu mwaka ........ mpaka mwaka........... kesi za upoteaji zilizoripotiwa polisi ni.......... Na kati ya idadi hiyo,, watu
......... walikutwa kwa mahawara zao, Watu............ hawajulikani walipo na watu .........walithibitika kufa. Tofauti na hapo inaitwa ni porojo tu anasema.
 
Kuna watu wengine ni kama walipata vyeo kwa ndumba. Huyu Gerson angekaa tu kimya au angeweza kusema hayo mambo yako mikononi mwa jeshi la polisi na vyombo vinavyohusika. Hiyo 10% pia haihalalishi haya matukio.
 
Kwahiyo huwa wanajiteka na kujiumiza? kama abdul nondo alijiteka sawa
 
Ningekuwa raisi huyu asbhi tu nishamtumbua ila kwakuwa pipa na mfuniko ndio maana anapeta.
 
Mteuzi wako Kesha sema ni vi drama drama tuu. Hamna shida familia zenu ziko salama.
 
Ndio atuambie sasa wanatekwa na nani??
Na watekaji pingu wanazitoa wapi?
 
Angeendelea kidogo kuongea lazima angesema hata wanaokufa nao hakuna ukweli wowote.Wanakuwa wamefumba macho tu kwa uchovu na njaa.
 
Amefanya utafiti, na matokeo yake yamechapishwa wapi?
 
Propaganda 😷 siku akitekwa yule mtoto wake ndipo atajua/ mtu hawezi kujiteka Kama diwani wa kawe.
 
Bahati mbaya ukishakuwa Mteuliwa Serikalini mnalishwa viapo kutetea madudu yote ya Serikali

Ndiyo maana wanaojielewa hawataki kufanya hizo kazi hasa kama wewe ni mtu wa Imani
Martin Luther King, Jr. said, "In the end, we will remember not the words of our enemies, but the silence of our friends"
 
Kijana pendwa wa Hayati. The galoot seems to know exactly what real happened to our comrade.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…