Gertrude Mongella: Kitabu cha Mwalimu Nyerere kilifichwa

Gertrude Mongella: Kitabu cha Mwalimu Nyerere kilifichwa

Nyerere alikemea ubaguzi wa aina yoyote ukiwemo jinsia, nilifikiri mama Mongera angekemea kauli za kibaguzi wa jinsia zinazoendelea maana Kuna wengine wanataka wachaguliwe sababu ya jinsia zao
 
Miongoni mwa mama wa shoka taifa hili kumpata[emoji123]

Mwenyezi Mungu ambariki ,ampe afya na uhai mrefu bibi yetu Getrude Mongella aaamin aaaamin aaaamin[emoji120]

#Wanawake Wanaweza

SIEMPRE JMT
Hakuna kitu hapo mm namjua huyo ni muimbiwa mapambio tu jamii za kikwete
 
Legacy kubwa ya mtu kama kina Julius Nyerere, Nelson Mandela au Ernesto Che Guevara huwa ndivyo zilivyo kutokana na kuhusika na mambo mbalimbali makubwa yenye mguso nje hata ya mipaka ya nchi zao za asili.
EeeenHeeee!

Umenijibu kivingine kabisa, lakini nalikubali jibu lako.
 
Mchango wa kinamama ktk harakati za kisiasa za Nyerere



Source : Mohamed Said
 
Komredi Manyerere Jackton ameshawahi kuzungumzia uandishi wa kitabu hicho cha baba wa taifa hayati Mwalimu Nyerere akiwa huko MAKERERE.....akataja ndani yake alielezea KUKANDAMIZWA KWA WANAWAKE KATIKA JAMII YA KIZANAKI.......

SIEMPRE JMT
Bila shaka hakikuwa kitabu bali kijarida ndo maana kimefichwa kulinda hadhi ya mwl baada ya kuwa Rais wa nchi. Nia ilikuwa njema tu. Unapongelea kitabu siyo unaongelea pamphlets za akina Nyangwine au Mkandawile. Kitabu Ni kitu kingine na ina sifa zake.
 
Miongoni mwa mama wa shoka taifa hili kumpata💪

Mwenyezi Mungu ambariki ,ampe afya na uhai mrefu bibi yetu Getrude Mongella aaamin aaaamin aaaamin🙏

#Wanawake Wanaweza

SIEMPRE JMT
Kwa hiyo unakubaliana naye kwamba wanaume ni jinsia dhaifu kwa kuwa wameumbwa kwa tope na kwamba Mungu alipomuumba mwanamke alikuwa anarekebisha makosa aliyoyafanya kwenye uumbaji wa mwanaume?
Je na huu si ubaguzi, tena wa unyanyasaji
(Superior women vs inferior men) !?
 
Miongoni mwa mama wa shoka taifa hili kumpata💪

Mwenyezi Mungu ambariki ,ampe afya na uhai mrefu bibi yetu Getrude Mongella aaamin aaaamin aaaamin🙏

#Wanawake Wanaweza

SIEMPRE JMT
Yaani **** watu wajinga na wapumbavu huyu mama alikuwa nabahati tu miaka hiyo na hana maajabu yeyote kazi yake siku hizi kuwalisha mabinti ujinga mwisho wa siku hata yeye ndoa yake ilimshinda! Kuhusu nyerere kubwa alilofanya ni kuunganisha watanzania pasipo naubaguzi ila kwenye maeneo mengine nyerere alifeli sana! Alijitwika mizigo isiyo na maana na kusahau kulijenga taifa kimiundombinu ma kielimu kwa kifupi kipindi kile watanzania wengi waliishia kumuona nyerere kama mkombozi wakati yeye alishindwa kuwaambia ukweli wananchi kuwa ujumaa tu hautoshi kumukomboa mwananchi!
 
Naungana na wewe
Nyerere zama zake zilishaisha na Nyerere huyo mnayemsoma kwenye makaratsi kipindi kile aliongoza nchi iliyokuwa na watu wenye elimu ndogo sio kama leo! Na hatuwezi kutumia falsafa za Nyerere mpka leo wakati mazingirana hali za jamii zinabadilika! Mda wake ulifungwa kila mtu apambane na hali yake! Viongozi wapambane na achangamoto zetu kwa ujasiri bila woga!
 
Nyerere zama zake zilishaisha na Nyerere huyo mnayemsoma kwenye makaratsi kipindi kile aliongoza nchi iliyokuwa na watu wenye elimu ndogo sio kama leo! Na hatuwezi kutumia falsafa za Nyerere mpka leo wakati mazingirana hali za jamii zinabadilika! Mda wake ulifungwa kila mtu apambane na hali yake! Viongozi wapambane n achangamoto zetu kwa ujasiri bila woga!
Zaidi ya hakuna la maana alofanya zaidi ya kutisha watu
 
Josina Machel - Wajana siyo wa leo, tubadilike



Josina Machel Changing the Narrative

Source : Graça Machel Trust
 
Tanzania bado tuna ushamba mwingi sana. Tunajidai ni maconservative ila tumejaa tu maujinga na unafiki.
 
Back
Top Bottom