Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Gervais Milton anatarajiwa kutangazwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kuchukua nafasi ya Chongolo. Pamoja na exposure yake akiwa mwana Diaspora bado hana nguvu nje ya mfumo wa siasa. Nguvu kubwa aliyonayo ni utaalam wa masuala ya utawala, lobbying, negotiations na mikakati.
Pamoja na umahiri wake bado chama kinahitaji sana mtu wa kucheza majukwaani kumsaidia katika harakati za kampeni.
Tumtakie kila la kheri katika majukumu hayo.
Pamoja na umahiri wake bado chama kinahitaji sana mtu wa kucheza majukwaani kumsaidia katika harakati za kampeni.
Tumtakie kila la kheri katika majukumu hayo.