CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Hiyo nafasi apewe Gigy Money au Ambaruty itapendeza sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo yoote hawahitaji hata mojaKatibu mkuu wa CCM awe
I) Mwenye uwezo mkubwa wa kujenga na kutetea hoja Kwa sababu mwaka huu na ujao ni wakati wa kupanda majukwaani kutetea hoja za Kwa nini kitu Fulani kipo namna Fulani.
2. Mwenye sifa njema za kimaadili zinazokubalika na zisizotiliwa shaka na uadilifu wake uwe ni taswira ya kung'aa Kwa jamii.
3. Asiwe mtu wa makundi au muumini wa kundi lolote maana ana jukumu la kukiunganisha chama.
4. Ni mwenye kuzifahamu siasa za Chama Cha Mapinduzi na mwenye upeo na uelewa mkubwa wa siasa za nchi yetu Kwa sababu mara nyingine atakiwalisha chama kwenye mikutano ya kimataifa.
5. Mwenye kuuishi ujamaa Kwa vitendo na muumini wa siasa za ujamaa na kujitegemea.
6. Awe na uzoefu wa kutosha na mwenye kukielewa chama na angalau awe amewahi kuwa mtumishi ndani ya Chama.
Nina Imani Dkt. Samia atatuletea mtu mwenye sifa hizi
Wamrithi Katibu kwa tabia zileHiyo nafasi apewe Gigy Money au Ambaruty itapendeza sana
Umem-humulate Makongoro. Jina feki isikuondolee hekima.Huyu mlevi ameshindwa kusimamia viwanja vya mama yake vinaporwa na walinzi ndio aweze Kubeba hilo zigo la ccm?
Tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli kuwa hawa watoto wa Nyerere hawalipi heshima jina la baba yao! Ndio maana walinzi wa mali zao wanazipora kwa kutumia jina la baba yao!Umem-humulate Makongoro. Jina feki isikuondolee hekima.