Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Bwashee hata unamjua huyo mtu?Ni jambo jema 😄
Makongoro Nyerere ata washangazeni.Gervais Milton anatarajiwa kutangazwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kuchukua nafasi ya Chongolo. Pamoja na exposure yake akiwa mwana Diaspora bado hana nguvu nje ya mfumo wa siasa. Nguvu kubwa aliyonayo ni utaalam wa masuala ya utawala, lobbying, negotiations na mikakati.
Pamoja na umahiri wake bado chama kinahitaji sana mtu wa kucheza majukwaani kumsaidia katika harakati za kampeni.
Tumtakie kila la kheri katika majukumu hayo.
Kama alivyotuletea yule mhalifu anayestahili kuwa gerezani hivi Sasa kama mwenezi. Safi sana.Katibu mkuu wa CCM awe
I) Mwenye uwezo mkubwa wa kujenga na kutetea hoja Kwa sababu mwaka huu na ujao ni wakati wa kupanda majukwaani kutetea hoja za Kwa nini kitu Fulani kipo namna Fulani.
2. Mwenye sifa njema za kimaadili zinazokubalika na zisizotiliwa shaka na uadilifu wake uwe ni taswira ya kung'aa Kwa jamii.
3. Asiwe mtu wa makundi au muumini wa kundi lolote maana ana jukumu la kukiunganisha chama.
4. Ni mwenye kuzifahamu siasa za Chama Cha Mapinduzi na mwenye upeo na uelewa mkubwa wa siasa za nchi yetu Kwa sababu mara nyingine atakiwalisha chama kwenye mikutano ya kimataifa.
5. Mwenye kuuishi ujamaa Kwa vitendo na muumini wa siasa za ujamaa na kujitegemea.
6. Awe na uzoefu wa kutosha na mwenye kukielewa chama na angalau awe amewahi kuwa mtumishi ndani ya Chama.
Nina Imani Dkt. Samia atatuletea mtu mwenye sifa hizi
Mbona hiyo NAFASI ni ya MAKONDA ?Gervais Milton anatarajiwa kutangazwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kuchukua nafasi ya Chongolo. Pamoja na exposure yake akiwa mwana Diaspora bado hana nguvu nje ya mfumo wa siasa. Nguvu kubwa aliyonayo ni utaalam wa masuala ya utawala, lobbying, negotiations na mikakati.
Pamoja na umahiri wake bado chama kinahitaji sana mtu wa kucheza majukwaani kumsaidia katika harakati za kampeni.
Tumtakie kila la kheri katika majukumu hayo.
Hizo zote ni ziada. Sifa kuu ni kuwa chawa na kusubiri maelekezo kutoka magogoni.Katibu mkuu wa CCM awe
I) Mwenye uwezo mkubwa wa kujenga na kutetea hoja Kwa sababu mwaka huu na ujao ni wakati wa kupanda majukwaani kutetea hoja za Kwa nini kitu Fulani kipo namna Fulani.
2. Mwenye sifa njema za kimaadili zinazokubalika na zisizotiliwa shaka na uadilifu wake uwe ni taswira ya kung'aa Kwa jamii.
3. Asiwe mtu wa makundi au muumini wa kundi lolote maana ana jukumu la kukiunganisha chama.
4. Ni mwenye kuzifahamu siasa za Chama Cha Mapinduzi na mwenye upeo na uelewa mkubwa wa siasa za nchi yetu Kwa sababu mara nyingine atakiwalisha chama kwenye mikutano ya kimataifa.
5. Mwenye kuuishi ujamaa Kwa vitendo na muumini wa siasa za ujamaa na kujitegemea.
6. Awe na uzoefu wa kutosha na mwenye kukielewa chama na angalau awe amewahi kuwa mtumishi ndani ya Chama.
Nina Imani Dkt. Samia atatuletea mtu mwenye sifa hizi
Siyo Chamwino tena?!!!Hizo zote ni ziada. Sifa kuu ni kuwa chawa na kusubiri maelekezo kutoka magogoni.
Utatu mtakatifu wa CCM,NEC na vyombo vya usalama!Kucheka Mtacheka Lakini CCM Imedoda Zaidi Inangoja Mbereko Zake Toka Hapa:-
Tiss
Jwtz
Pccb
Police
Court
Nec
Msajili
Prison
Huyu mlevi ameshindwa kusimamia viwanja vya mama yake vinaporwa na walinzi ndio aweze Kubeba hilo zigo la ccm?Makongoro Nyerere ata washangazeni.
Nani ampeleke nani mahakamani? Nani ana usafi huo?Kama alivyotuletea yule mhalifu anayestahili kuwa gerezani hivi Sasa kama mwenezi. Safi sana.
Mama Abdul kıla kukicha yuko Dar/kızımkazi sasa huko Chamwino ni gelesha tu!Siyo Chamwino tena?!!!