Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!

Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!

Ingebidi turudi kwenye mtizamo wa Nyerere tusubiri hadi tukiwa na uwezo wa kuchimba wenyewe. Inashangaza hata mapato makubwa ya Serikali yanatokana na bia na sigara.
 
Jamani nimesoma uzi huu kifua kikanibana kwa sababu ya hasira. Hivi kweli tutapata lini viongozi wenye uchungu na uchu wa maendeleo ya nchi yetu bila ya wao kufikiria masilahi binafsi! Inauma sana. Anyway time solves problems, let us wait for it.

Husinde kwa mganga wa kienyeji au huitaji shahada ya chuo kikuu kujua kwamba matatizo ya nchi hii yamesababishwa na utawala wa CCM. Watz wapende wasipende, matatizo ya nchi hii hayataisha mpaka CCM na serikali viondoke madaraka.
 
mimi jamani kwa uzoefu nilionao hap kuna uchakachuaji wa mahesbu ya takwimu ili wanamtwara watulie hakuna lolote hapo. kama watu wanachakachua bajeti itashindkana nini kwenye gasi?
 
Hii kitu niliipandisha July mwaka jana , Watanzania ndio sasa tunaamka na kuanza kujiuliza hadi kwa midahalo!

Uzi huu haukuchangiwa sana ila kwa vile sasa Mzawa Mengi, kaingilia kati, ndipo sasa walio wengi wanaanza kujenga interest huku watu wa kupiga deals wameisha piga deals kubwa na fungu limejituliza kule Credit Susie!.
Pasco
 
Wanabodi,

Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, mtu unaweza kupata wazimu, ukikamata SMG, unaweza kuwamiminia risasi Watanzania wenzetu wanauiuza nchi yetu na maliasili zake kwa bei ya bure kwa wageni kwa jina la wawekezaji kwa kisingizio kuwa sisi hatuna uwezo wa kuwekeza!.

Kumbe na kwenye gesi asili, Watanzania tunaendelea kuibiwa mchana kweupe!. Hatuna Sera, Hatuna Sheria, na bado tunashadadia kugawa vitalu!. Hii ni "day light Robbery!"

Hebu soma hapa chini!.

After studying the experience from other countries, the following lessons were learnt:

  • Location of LNG Plant – should be constructed on land (not floating LNG
on sea)

  • Reasons: Mainly for monitoring and control purposes – monitoring is challenging because of lack of technology and control means

  • There should be only one plant.
  • The GoT/Tanzanians/Public should have majority shares to the entire
Infrastructure say not less than 51% – to have authority say and decision
making for the benefit of the country. It may be on PPP model.

  • The proposed land for construction of LNG and other industries utilizing natural gas should be owned by the government. Facilities like roads, water and electricity should be put by GOT and appropriate tariff should be determined for the government.


  1. KWA GESI ALIYOTUJALIA MWENYEZI MUNGU, TUKIJIPANGA VIZURI, TUTAPATA MAENDELEO MAKUBWA KULIKO AMA KAMA SOUTH AFRICA.
  2. MAKAMPUNI MAKUBWA YA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI YANAELEWA NA YANATAKA TUBAKI KWENYE HALI YA KUTOELEWA HALI YA BIASHARA YA GESI. YANATULAGHAI KWA NJIA YA UZOEFU NA WALIONAO.
  3. GAS HATA KAMA IKO CHINI YA BAHARI AU CHINI YA ARIDHI NI MALI YETU NA INAYO VALUE YAKE NA SIO MWENYE UWEZO WA KUITOA ARIDHINI BASI NDIE MWENYE GAS DARWIN THIORY ISITUMIKE KWA MALIASILI YA NCHI YETU.

MY TAKE!.
1. Kumbe gesi yote inayovunwa nchini sasa na itakayoendelea kuvunwa miaka ijayo, siyo yetu!, ni ya mwekezaji!.

2. Eti gesi hiyo haina thamani yoyote kwetu huko chini ardhini ilipo, na wala sio mali yetu!, bali ni mali ya mwekezaji anayeichimba na sisi tunauziwa kwa bei ya soko, na faida yote ni ya mwekezaji anayechimba, ila taifa litafaidika na kodi!.

Nimeshindwa kuendelea kwa sasa kutokana na hasira!.

Mungu Ibariki Tanzania!.

Pasco.

Mkuu kwa kuipa nini tena? Huu utaratibu wa kumkejeli Mungu tuache sana! Ametupa mpka ambavyo tunaexclusivity navyo! Mfano Tanzanite
 
Watanzania!!!

Kuna kitu kinaitwa surface ownership. Kipo hata MAREKANI.

Sasa surface owner kama hana rights za ownership of mineral underlying their property, ndio mnafikishana hapo mlipo fika. Nyie si mna WABUNGE, SASA KAZI YAO NI NINI? Ni kupiga kelele tu CCM wabaya, lakini hawajui Dunia inaendaje. Please people. Google :Surface Owner: Mkisha pata Wafundishe WABUNGE WENU MNAO WASIFIA KWA KUWAITA MAJEMBE KWENYE CENTURY YA COMPUTER TECH.

Schiendler
 
JAMANI mi mwenzenu kwa sababu2 sina elimu wala mali vinginevyo HAKIKA NINGE UNDA JESH LA MS2NI KAMA joseph kony il ni deal na wote wanao izunguka tz
pole sana pasco nimeona hasira ulzo nazo kwa kuillia tz
inasikitisha sana
 
HEBU tazameni kuna inchi haina maliasili kama 2lizo nazo cc lakini uchumi wao upo steble
cc 2na
1.milima yenye kuvutia watalii haitoshi
2.misi2 mikubwa yenye kuzalisha mbao lakini shule ya kata kila mwanafunz dawat ajenalo
da NGOJEN NIISHIE HAPA
 
Guys tuache kuzungumza bila kufanya research. Hebu kwa kuanzia piteni hapa www.tpdc-tz.com pia hebu tufanye research kujua jinsi mfumo wa PSA unavyofanya kazi then tucompare na Model Production Sharing Agreement za Tanzania zilizoko tpdc website.

Pia tpdc wameweka taarifa nyingi sana kwenye website yao hebu tujielimishe hapo naamin mchango wetu hapa jamvini utakuwa mzuri sana kuliko sasa.
 
Wewe huoni kwanini Magamba hawataki tuwe na elimu ya kutosha.... Wamepigwa Mkwara waendeshe nchi kama inavyoendeshwa... ili tubaki wajinga tuibiwe hadi pale yatakapobaki mashimo matupu ndio watatuachia...

Kayumba Shule za Kata ... mikopo kwa shida Hospitalini no vifaa wanatuacha tufe tu kwani tuna faida Gani... na wewe ukionekana unaleta Utata na kujua sana Dawa yako unapelekwa Misitu ya Pande koreo linakusubiri huko... Haki ina Gharama Mkuu kuipata

Upo kisiasa zaidi
 
Ukijaribu kuhoji utagewa majibu mepesi saana.Tatizo la Tz sio viongozi tu,bali system nzima ya uongozi wa CCM
 
Ofcourse gas ni ya mwekezaji,na ndio model inayotumika dunia nzima,kama mnataka serikali (United Republic) wawe shareholder basi inabidi wafanye investment kama wawekezaji wengine,lakini watapata wapi billions and technology za kutafuta gas huku hata kulipa mishahara ya wafanyakazi hawawezi? kilichobakia ni kuwakabidhi investors then wananchi wako wapate kazi na ukusanye kodi yako kama wakipata faida lakini,haya mambo ya madini,mafuta,gas etc ni very complicated business kwa nchi maskini na mara nyingi wanaofaidika ni investors,mkumbuke kwenye capitalist system anayefaidika ni yule anayebeba risk....gas hata kama ipo Tanzania haiotakuwa ya bure na wala haitakuwa rahisi na wazalishaji wa umeme kama Tanesco watauziwa kwa bei ya soko na hakuna upendeleo labda serikali iingilie kati na kuwapa incetives investors kama kuwapunguzia kodi then may be wataweza kupunguza bei kidogo

apo kwenye risk hebu tuelekeze vizuri kuwezesha watz kumiliki iyo rasilimali
 
watu wanadhani mwekezaji anatakiwa kusambaza mabomba ya gesi kila nyumba free of charge....

ha ha ha,ila mi nashauri pawepo machimbo ya wachimbaji wadogowadogo wa gesi ili vijana wetu wajiajiri.......
 
Nliwahi sema, kama umebahatika kufika walau form 6 na unajua dunia inakwenda wapi...hasa hapa nyumbani Tz. Kila siku before retiring to bed piga goti umshukuru Mungu wako. Kuna watu wananuka ujinga acheni tu.

Ukisikia mtu ana exchange dhahabu kwa kioo au shanga ndio hii.

What a disgrace.
 
Back
Top Bottom