Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!

Ingebidi turudi kwenye mtizamo wa Nyerere tusubiri hadi tukiwa na uwezo wa kuchimba wenyewe. Inashangaza hata mapato makubwa ya Serikali yanatokana na bia na sigara.
 
Jamani nimesoma uzi huu kifua kikanibana kwa sababu ya hasira. Hivi kweli tutapata lini viongozi wenye uchungu na uchu wa maendeleo ya nchi yetu bila ya wao kufikiria masilahi binafsi! Inauma sana. Anyway time solves problems, let us wait for it.

Husinde kwa mganga wa kienyeji au huitaji shahada ya chuo kikuu kujua kwamba matatizo ya nchi hii yamesababishwa na utawala wa CCM. Watz wapende wasipende, matatizo ya nchi hii hayataisha mpaka CCM na serikali viondoke madaraka.
 
mimi jamani kwa uzoefu nilionao hap kuna uchakachuaji wa mahesbu ya takwimu ili wanamtwara watulie hakuna lolote hapo. kama watu wanachakachua bajeti itashindkana nini kwenye gasi?
 
Hii kitu niliipandisha July mwaka jana , Watanzania ndio sasa tunaamka na kuanza kujiuliza hadi kwa midahalo!

Uzi huu haukuchangiwa sana ila kwa vile sasa Mzawa Mengi, kaingilia kati, ndipo sasa walio wengi wanaanza kujenga interest huku watu wa kupiga deals wameisha piga deals kubwa na fungu limejituliza kule Credit Susie!.
Pasco
 

Mkuu kwa kuipa nini tena? Huu utaratibu wa kumkejeli Mungu tuache sana! Ametupa mpka ambavyo tunaexclusivity navyo! Mfano Tanzanite
 
Watanzania!!!

Kuna kitu kinaitwa surface ownership. Kipo hata MAREKANI.

Sasa surface owner kama hana rights za ownership of mineral underlying their property, ndio mnafikishana hapo mlipo fika. Nyie si mna WABUNGE, SASA KAZI YAO NI NINI? Ni kupiga kelele tu CCM wabaya, lakini hawajui Dunia inaendaje. Please people. Google :Surface Owner: Mkisha pata Wafundishe WABUNGE WENU MNAO WASIFIA KWA KUWAITA MAJEMBE KWENYE CENTURY YA COMPUTER TECH.

Schiendler
 
JAMANI mi mwenzenu kwa sababu2 sina elimu wala mali vinginevyo HAKIKA NINGE UNDA JESH LA MS2NI KAMA joseph kony il ni deal na wote wanao izunguka tz
pole sana pasco nimeona hasira ulzo nazo kwa kuillia tz
inasikitisha sana
 
HEBU tazameni kuna inchi haina maliasili kama 2lizo nazo cc lakini uchumi wao upo steble
cc 2na
1.milima yenye kuvutia watalii haitoshi
2.misi2 mikubwa yenye kuzalisha mbao lakini shule ya kata kila mwanafunz dawat ajenalo
da NGOJEN NIISHIE HAPA
 
Guys tuache kuzungumza bila kufanya research. Hebu kwa kuanzia piteni hapa www.tpdc-tz.com pia hebu tufanye research kujua jinsi mfumo wa PSA unavyofanya kazi then tucompare na Model Production Sharing Agreement za Tanzania zilizoko tpdc website.

Pia tpdc wameweka taarifa nyingi sana kwenye website yao hebu tujielimishe hapo naamin mchango wetu hapa jamvini utakuwa mzuri sana kuliko sasa.
 

Upo kisiasa zaidi
 
Ukijaribu kuhoji utagewa majibu mepesi saana.Tatizo la Tz sio viongozi tu,bali system nzima ya uongozi wa CCM
 

apo kwenye risk hebu tuelekeze vizuri kuwezesha watz kumiliki iyo rasilimali
 
watu wanadhani mwekezaji anatakiwa kusambaza mabomba ya gesi kila nyumba free of charge....

ha ha ha,ila mi nashauri pawepo machimbo ya wachimbaji wadogowadogo wa gesi ili vijana wetu wajiajiri.......
 
Nliwahi sema, kama umebahatika kufika walau form 6 na unajua dunia inakwenda wapi...hasa hapa nyumbani Tz. Kila siku before retiring to bed piga goti umshukuru Mungu wako. Kuna watu wananuka ujinga acheni tu.

Ukisikia mtu ana exchange dhahabu kwa kioo au shanga ndio hii.

What a disgrace.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…