Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!

Mkuu Hakimu Mfawidhi , kuna kitu hapa umekisema ni kitu kikubwa sana na mimi niliwahi kukiulizia kwenye bandiko hili.

P

Boss Paschal asante kwa bandiko hilo uliloandika takribani muongo mmoja sasa. Kiukweli kuna watu wanafanya mtu awe na hasira sana. Sasa kama wenye vitalu wanauza gesi ghali, vitalu viliuzwa kwa faida ya akina nani? Je, wenye vitalu wanatoa kodi kiasi gani hata tukimbilie kuuza vitalu? Why on earth kuingia kwenye mradi usiokuwa na faida kwa taifa. Bora wangeacha vitukuu wetu waje kuchimba miaka hiyo ijayo.

Au kuna percent nini kwa baadhi ya makuwadi wetu.

Naelewa saana yaani kwa nini wachina wanapiga risasi, China imekuwa china ya sasa yenye kifua sawa na US, Russia kwa sababu they dont play with makuwadi na madalali wa rasimali za nchi!!

Mxiuuuuuuu!!!!!!!!
 
Wakati huo ukiwa Pasco. Toka tukujue ukawa Mayalla basi njaa yote ilihamia Kichwani. Kongole kwa uzi makini.
 
Lakini si wanajulikana? na wanalindana kwa sababu wote ni ukoo wa panya.
 
NB: Ni ya mwekezaji ila pia kuna 10% percent ya Msogawisee
 
Ulishapigwa
 

Dah
 

Mpira wa hii mechi sasa uko uwanjani ukisubiri tuu kipenga kipulizwe mechi ianze!.

Bandiko hili ni la 2012, Leo ni miaka 10 baadae, hiki nilichohofia hapa kisifanyike ndio kinatokea, the location of LNG!.

Mungu Ibariki Tanzania
P
 
Mkuu Mwanahisa, kwenye mkataba uliosainiwa jana, hili la capacity building to the local Rais Samia amelisisitiza Tanzania na Equinor / Shell yasaini mradi wa thamani dola bilioni 30
P
 
So sad!!! Hatuna bahati
 
Nasikia kuna sheria mpya ya gesi inakuja Je serikali inategemewa kuwa na intézése ya kiasi gani?
Mkuu Mzee2000 , ni kweli tumeleta sheria mpya ya extractive industries, kwa sasa serikali yetu ni mbia mwenye hisa asilimia 16% ziitwazo free carried shares, halafu tuta negotiate tutagawanaje faida kama ni 50/50, then, it's a good deal, hakuna anayeibiwa tunapata wote sawa in a win win situation.
P.
 
Kuna kila factor ya kuamini magufuli aliuliwa
Mleta uhai ni mmoja tuu, Mungu Baba Muumba. Na anaye authorize uhai utoke na kifo kitokee ni huyo huyo mmoja tuu Mungu Baba, hivyo kikitokea kifo chochote kwa sababu yoyote huwa tunasema ni kazi ya Mungu, ni Bwana aliletwa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!. Tusianze kutafuta mchawi!.
P
 
Ila huwaga sikuelewegi kabisamaana sasa hivi unasapoti kwelikweli mambo ya gesi kuliwa na wajanja
 
@Pascal Mayalla hizi akili ulizipelekaga wapi?, uliuza??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…