Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Login na zile Id nyingine.Hoja zote ni kama uhalo wa fisi kwenye choo, nalogoff maana pumba zimezidi Jf

Wabongo wakisema dish limeyumba baada ya kupata kichapo utasemaje?Login na zile Id nyingine.
Wabongo wakisema dish limeyumba baada ya kupata kichapo utasemaje?
Zipi we kibwengo?Nasema hivi, logoff na id hii uje na zile nyingine, simple mbona?
Zipi we kibwengo?
Acha ubwege we bwege,kunibatiza majina ya unayoyajua weweBwahaaa bwahaaaa, nimecheka kwa nguvu jinsi ulivyopanic chagu wa malunde.
Acha ubwege we bwege,kunibatiza majina ya unayoyajua wewe
AhaaaaaSawa igunduge.
Nmeamua nifurahi tu,maana huu sio ubwege ni uduwanzi.Sawa igunduge.
Mkuu Zakumi , hii ndio faida kuu ya JF, sharing information with others, ni kweli mimi sio mchumi, hivyo wachumi tusaidieni. Kabla ya JPM, Tanzania owned 0% stakes kwenye extractive industries, baada ya ujio wa JPM, now Tanzania owns 16% stakes kwenye extractive industries zote!, hili linahitaji mchumi kutuelimisha ni wapi tunafaidika zaidi?.
Kama kuna kitu unakijua kuhusu Mwadui, please share, nijuavyo ni Biashara ya Diamonds dunia nzima ilikuwa controlled na De Bears, now Petra Diamonds, kama ambavyo Tanzanite One wana control biashara ya Tanzanite!.
P
Wanabodi,
Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, ukisoma ukaona jinsi tunavyoibiwa rasilimali zetu, na wanaofanya tuibiwe, ni wenzetu tuliowapa dhamana ya kutuongoza, mtu unaweza kupata wazimu, ukarukwa na akili, ukikamata SMG, unaweza kuwamiminia risasi Watanzania wenzetu wanaoiuza nchi yetu na maliasili zake kwa bei ya bure kwa wageni kwa jina la wawekezaji kwa kisingizio kuwa sisi hatuna uwezo wa kuwekeza ili kuvuna rasilimali hizo zitufaidie!.
Mpaka hapa tulipo, Tanzania tumesha ibiwa sana kwenye madini kutokana na mikataba mibovu ya kinyonyaji na mpaka sasa ninapoandika haya, bado tunaendelea kuibiwa kwa mikataba hiyo hiyo mibovu iliyoingiwa na wenzetu. Sasa Mwenyeenzi Mungu katupa gesi asili angalau ituokoe kutoka katika hili lindi la umasikini uliotopea...lakini kumbe..., masikini Watanzania!, sijui nani katuloga!, maana na huku kwenye gesi asili, Watanzania tunaendelea kuibiwa mchana kweupee! huku wenyewe na hawa makuwadi tunaowaita ni viongozi wetu, tukiangalia tuu kama mazuzu!. Nchi hatuna sera ya gesi, hatuna sheria ya gesi!, hatuna lolote tulijualo kuhusu uchumi wa gesi, lakini ndio bado tunashadadia kugawa vitalu vya gesi kama njugu!.
Hadi hapa ninapopandisha uzi huu, mwaka huu wa 2012, nchi yetu hatuna sera ya gesi wala sheria ya gesi lakini tumeingia mikataba 23 ya PSA ambayo in reality, we are getting almost nothing!, nil!. Hii ni "day light Robbery!" na inafanywa na viongozi hawa hawa tulio nao tukidhani ni wenzetu lakini kumbe. ..
Hebu soma hapa chini!.
After studying the experience from other countries, the following lessons were learnt:
- Location of LNG Plant &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; should be constructed on land (not floating LNG on sea)
- Reasons: Mainly for monitoring and control purposes &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; monitoring is challenging because of lack of technology and control means
- There should be only one plant.
- The GoT/Tanzanians/Public should have majority shares to the entire
- Infrastructure say not less than 51% &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; to have authority say and decisions making for the benefit of the country. It may be on PPP model.
- The proposed land for construction of LNG and other industries utilizing natural gas should be owned by the government. Facilities like roads, water and electricity should be put by GOT and appropriate tariff should be determined for the government.
MY TAKE!.
- KWA GESI ALIYOTUJALIA MWENYEZI MUNGU, TUKIJIPANGA VIZURI, TUTAPATA MAENDELEO MAKUBWA KULIKO AMA KAMA SOUTH AFRICA.
- MAKAMPUNI MAKUBWA YA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI YANAELEWA NA YANATAKA TUBAKI KWENYE HALI YA KUTOELEWA HALI YA BIASHARA YA GESI. YANATULAGHAI KWA NJIA YA UZOEFU NA WALIONAO.
- GAS HATA KAMA IKO CHINI YA BAHARI AU CHINI YA ARIDHI NI MALI YETU NA INAYO VALUE YAKE NA SIO MWENYE UWEZO WA KUITOA ARIDHINI BASI NDIE MWENYE GAS DARWIN THIORY ISITUMIKE KWA MALIASILI YA NCHI YETU.
1. Kwa kukosekana sera na sheria ya gesi, kumbe gesi yote inayovunwa nchini sasa na itakayoendelea kuvunwa miaka ijayo, siyo yetu!, ni ya mwekezaji!.
2. Kumbe eti hiyo gesi huko ilipo haina thamani yoyote kwetu, its zero value, ikiwa huko chini ardhini ilipo, na wala sio mali yetu!, bali ni mali ya mwekezaji anayeichimba na sisi tunauziwa kwa bei ya soko, na faida yote ni ya mwekezaji anayechimba, ila taifa litafaidika na kodi!. Huu ndio upuuzi tulioufanya kwenye madini, madini yote ni ya mwekezaji!, sisi tunalipwa mrahaba na kodi tuu za serikali!.
Bila ya sera na sheria, tuna haraka gani?. Baada ya mkataba wa Songas, tumeshindwa nini kuandaa sera na sheria kwanza ndipo tukaendelea kugawa vitalu vya utafutaji na uchimbaji wa gesi asilia?.
Nimeshindwa kuendelea kwa sasa kutokana na hasira!, unaweza ukaua mtu! . Labda mbele ya safari, kutakuja kutokea kichaa mmoja akiyajua haya ambayo hawa viongozi wetu wametutendea kwa kutokujua kwetu anaweza kupandwa hasira na kuwamiminia risasi wahusika wote wakuu walio yafanya haya au kuachia yafanyike katika ardhi ya Tanzania na kama wametangulia mbele ya haki, akawachapa bakora juu ya makaburi yao!.
Haya akinasisi tunayaona leo, tunayapigia kelele, huku wahusika wakuu wakijifanya kutia pamba masikioni, halafu akija kujitokeza kiongozi mzalendo kwa siku zijazo, akayaibua haya, Watanzania tutajifanya kushangaa na kuingia hasira kwa jinsi tunavyoibiwa!.
Baada ya kuipokea hii document, nilifanya personal initiative ya kuifungia safari hadi Bungeni Dodoma, nikaikabidi kwa baadhi ya wabunge, akiwemo Mwenyekiti wa POC, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe na Waziri Kivuli wa Madini, Mhe. JJ Mnyika, hebu tusikilizie if anything will be done about this, vinginevyo ni Watanzania tunaendelea kuibiwa mchana kweupe, na wanaofanya tuibiwe ni hawa wenzetu tuliowaamini na kuwakabidhi nchi yetu hii!.
Sijui ni nani aliyetuloga!.
Mungu Ibariki Tanzania!.
Paskali
Mkuu August , kwanza, thanks for this info. Najisikia vibaya kwa mimi kuwa ni mmoja wa pressure groups ambao 9 years ago, tulioshinikiza mradi huu uchelewe, ni kwasababu. Sasa maadam Mama kasema majadiliano yaendelee, sisi pressure group, nasi sasa inabidi tulainike tuu, hata kama ni kuibiwa gesi yetu mchana kweupe, na tuibiwe tuu as long as at least we get something, than hali ilivyo sasa, we are getting nothing!.Dar es Salaam. President Samia Suluhu Hassan’s directive that negotiations with international oil companies (IOC) on the proposed $30 billion (Sh69 trillion) liquefied natural gas (LNG) complex in Lindi Region be expedited has revived hopes that the project will finally be implemented.
The Host Government Agreement (HGA) discussions on the construction of the project - which have stalled for more than three years - are expected to resume next month, the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) managing director James Mataragio has revealed.
Addressing Parliament last week, President Hassan said the negotiations have dragged on for a long time and insisted that it was about the time they [the negotiations] were swiftly conducted and finalised once and for all.
“It has been six years now since we started these negotiations but nothing tangible has been achieved so we can start actual construction of the LNG plant. The long wait is over and we are going to do it now,” she told the House last week.
Her orders meant to quickly finish the necessary procedures for the construction of the project to kick off soon.
True to the President’s call, Dr Mataragio told The Citizen yesterday that all was set for the negotiations to start next month, noting that experts from both sides [the government and international oil companies] will conduct the discussions for a period of six months.
Mtu mwenyewe unayetaka kumuua ni kikwet?Wanabodi,
Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, ukisoma ukaona jinsi tunavyoibiwa rasilimali zetu, na wanaofanya tuibiwe, ni wenzetu tuliowapa dhamana ya kutuongoza, mtu unaweza kupata wazimu, ukarukwa na akili, ukikamata SMG, unaweza kuwamiminia risasi Watanzania wenzetu wanaoiuza nchi yetu na maliasili zake kwa bei ya bure kwa wageni kwa jina la wawekezaji kwa kisingizio kuwa sisi hatuna uwezo wa kuwekeza ili kuvuna rasilimali hizo zitufaidie!.
Mpaka hapa tulipo, Tanzania tumesha ibiwa sana kwenye madini kutokana na mikataba mibovu ya kinyonyaji na mpaka sasa ninapoandika haya, bado tunaendelea kuibiwa kwa mikataba hiyo hiyo mibovu iliyoingiwa na wenzetu. Sasa Mwenyeenzi Mungu katupa gesi asili angalau ituokoe kutoka katika hili lindi la umasikini uliotopea...lakini kumbe..., masikini Watanzania!, sijui nani katuloga!, maana na huku kwenye gesi asili, Watanzania tunaendelea kuibiwa mchana kweupee! huku wenyewe na hawa makuwadi tunaowaita ni viongozi wetu, tukiangalia tuu kama mazuzu!. Nchi hatuna sera ya gesi, hatuna sheria ya gesi!, hatuna lolote tulijualo kuhusu uchumi wa gesi, lakini ndio bado tunashadadia kugawa vitalu vya gesi kama njugu!.
Hadi hapa ninapopandisha uzi huu, mwaka huu wa 2012, nchi yetu hatuna sera ya gesi wala sheria ya gesi lakini tumeingia mikataba 23 ya PSA ambayo in reality, we are getting almost nothing!, nil!. Hii ni "day light Robbery!" na inafanywa na viongozi hawa hawa tulio nao tukidhani ni wenzetu lakini kumbe. ..
Hebu soma hapa chini!.
After studying the experience from other countries, the following lessons were learnt:
- Location of LNG Plant &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; should be constructed on land (not floating LNG on sea)
- Reasons: Mainly for monitoring and control purposes &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; monitoring is challenging because of lack of technology and control means
- There should be only one plant.
- The GoT/Tanzanians/Public should have majority shares to the entire
- Infrastructure say not less than 51% &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; to have authority say and decisions making for the benefit of the country. It may be on PPP model.
- The proposed land for construction of LNG and other industries utilizing natural gas should be owned by the government. Facilities like roads, water and electricity should be put by GOT and appropriate tariff should be determined for the government.
MY TAKE!.
- KWA GESI ALIYOTUJALIA MWENYEZI MUNGU, TUKIJIPANGA VIZURI, TUTAPATA MAENDELEO MAKUBWA KULIKO AMA KAMA SOUTH AFRICA.
- MAKAMPUNI MAKUBWA YA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI YANAELEWA NA YANATAKA TUBAKI KWENYE HALI YA KUTOELEWA HALI YA BIASHARA YA GESI. YANATULAGHAI KWA NJIA YA UZOEFU NA WALIONAO.
- GAS HATA KAMA IKO CHINI YA BAHARI AU CHINI YA ARIDHI NI MALI YETU NA INAYO VALUE YAKE NA SIO MWENYE UWEZO WA KUITOA ARIDHINI BASI NDIE MWENYE GAS DARWIN THIORY ISITUMIKE KWA MALIASILI YA NCHI YETU.
1. Kwa kukosekana sera na sheria ya gesi, kumbe gesi yote inayovunwa nchini sasa na itakayoendelea kuvunwa miaka ijayo, siyo yetu!, ni ya mwekezaji!.
2. Kumbe eti hiyo gesi huko ilipo haina thamani yoyote kwetu, its zero value, ikiwa huko chini ardhini ilipo, na wala sio mali yetu!, bali ni mali ya mwekezaji anayeichimba na sisi tunauziwa kwa bei ya soko, na faida yote ni ya mwekezaji anayechimba, ila taifa litafaidika na kodi!. Huu ndio upuuzi tulioufanya kwenye madini, madini yote ni ya mwekezaji!, sisi tunalipwa mrahaba na kodi tuu za serikali!.
Bila ya sera na sheria, tuna haraka gani?. Baada ya mkataba wa Songas, tumeshindwa nini kuandaa sera na sheria kwanza ndipo tukaendelea kugawa vitalu vya utafutaji na uchimbaji wa gesi asilia?.
Nimeshindwa kuendelea kwa sasa kutokana na hasira!, unaweza ukaua mtu! . Labda mbele ya safari, kutakuja kutokea kichaa mmoja akiyajua haya ambayo hawa viongozi wetu wametutendea kwa kutokujua kwetu anaweza kupandwa hasira na kuwamiminia risasi wahusika wote wakuu walio yafanya haya au kuachia yafanyike katika ardhi ya Tanzania na kama wametangulia mbele ya haki, akawachapa bakora juu ya makaburi yao!.
Haya akinasisi tunayaona leo, tunayapigia kelele, huku wahusika wakuu wakijifanya kutia pamba masikioni, halafu akija kujitokeza kiongozi mzalendo kwa siku zijazo, akayaibua haya, Watanzania tutajifanya kushangaa na kuingia hasira kwa jinsi tunavyoibiwa!.
Baada ya kuipokea hii document, nilifanya personal initiative ya kuifungia safari hadi Bungeni Dodoma, nikaikabidi kwa baadhi ya wabunge, akiwemo Mwenyekiti wa POC, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe na Waziri Kivuli wa Madini, Mhe. JJ Mnyika, hebu tusikilizie if anything will be done about this, vinginevyo ni Watanzania tunaendelea kuibiwa mchana kweupe, na wanaofanya tuibiwe ni hawa wenzetu tuliowaamini na kuwakabidhi nchi yetu hii!.
Sijui ni nani aliyetuloga!.
Mungu Ibariki Tanzania!.
Paskali
Kikwete meno yote 32 nje kwa furaha baada ya kiboko yake kwendazake. Lakini akumbuke 2025 zaidi ya JPM ataingia kupitia upinzani na hapo tutamsikia keko, asipokuwa makiniMtu mwenyewe unayetaka kumuua ni kikwet?
mpinzani gani huyo ? Tundu Lisu?Kikwete meno yote 32 nje kwa furaha baada ya kiboko yake kwendazake. Lakini akumbuke 2025 zaidi ya JPM ataingia kupitia upinzani na hapo tutamsikia keko, asipokuwa makini
Tundu lissu ni mpuuzi huyo; nazungumzia mpinzani wa kweli na mzalendo, si wachumia tumbompinzani gani huyo ? Tundu Lisu?
Tofautisha ajira na utumwawatu wanadhani mwekezaji anatakiwa kusambaza mabomba ya gesi kila nyumba free of charge....
ha ha ha,ila mi nashauri pawepo machimbo ya wachimbaji wadogowadogo wa gesi ili vijana wetu wajiajiri.......
Mkuu Hakimu Mfawidhi , kuna kitu hapa umekisema ni kitu kikubwa sana na mimi niliwahi kukiulizia kwenye bandiko hili.Jambo lingine, ni.ewahi kumsikiliza mkuu wa TPDC akisema gesi ya kuzalisha umeme inauzwa bei ghali Tanzania kwa sababu visima vyote vya gesi ni vya wageni, sio vya Watanzania, tpdc wakasema wamepewa hela na serikali wachimbe visima vyao 2 ili wauzie TANESCO ili kushusha bei ya umeme. Kwa hiyo gesi inayochimbwa sio yetu, ilishauzwa na watanzania wenzetu tuliowapa dhamana, hivyo tutalazimika kuinunua kwa bei ghali, hilo liko wazi kabisa.
Mkuu,, nilimsikia mkurugenzi wa TPDC akiongea TBC akiwa na ayubu Ryoba kwamba gas inayozalishwa sasa sio ya TPDC, ni ya makampuni mengine ndio yanaimiliki, tpdc hana kisima hata kimoja anachokimiliki waala kuchimba.Mkuu Hakimu Mfawidhi , kuna kitu hapa umekisema ni kitu kikubwa sana na mimi niliwahi kukiulizia kwenye bandiko hili.
P
Dah,inauma sana hiiMkuu,, nilimsikia mkurugenzi wa TPDC akiongea TBC akiwa na ayubu Ryoba kwamba gas inayozalishwa sasa sio ya TPDC, ni ya makampuni mengine ndio yanaimiliki, tpdc hana kisima hata kimoja anachokimiliki waala kuchimba.
Yeye TPDC ndio amepewa hela na serikali kama Bilioni 200 ili achimbe visima vyake 2 pale Mnaz Bay ili angalau awe anaiuzia Tanesco kwa bei rahisi ili kushusha gharama za umeme. Kwa sasa TPDC ananunua gesi kisha na yeye anaiuzia tanesco, kwa hiyo umeme wa gesi Tanzania ni bei ghali sana, inawezekana tanesco wanazalisha unit moja ya umeme kwa zaidi ya tsh 400 kama vile mafuta.
ILe gesi iliyoko mtwara sio yetu, sio ya Watanzania, ilishauzwa siku nyingi. Watanzania yunachomiliki pale ni ardhi tu ila kilichomo chini ya ardhi sio mali yetu, ilishauzwa miaka mingi. Hili aliwahi kulisema Magufuli hadharani na pia alilisema mkuu wa tpdc.
Kwa msingi huo unaweza kuona wanaopigia kelele gesi sio kwamba wanataka watanzania tuvune rasilimali zetu na kuzitumia, hapana, wanapigia debe mabwana zao wenye visima vya gesi na wanaochimba gesi ili waendelee kufaidika.
ndo maana magufuri akaamua kuwekeza kwenye maji ili tuwe na umeme mwingi na tushushe bei.msizani magufuri alikiwa na roho mbaya kihivuoMkuu Hakimu Mfawidhi , kuna kitu hapa umekisema ni kitu kikubwa sana na mimi niliwahi kukiulizia kwenye bandiko hili.
P