Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #41
ahsante sana kwa kuona hiyo changamoto, ilikua ni typing error boss. Pale ni LindiSongosongo Kilwa Mkoani Pwani? Are you serious?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahsante sana kwa kuona hiyo changamoto, ilikua ni typing error boss. Pale ni LindiSongosongo Kilwa Mkoani Pwani? Are you serious?
Boss kuhusu mafundi, tunao mainjinia wazuri Tanzania wenye uwezo mkubwa wa kuongeza mfumo wa gesi kwenye gari yako. Hakuna mtanzania aliyewahi kulalamika kuhusu hicho ulichokisema.Dunia nzima sijawai ona gari ya gas ila naona gari ya umeme na
Mafundi wa bongo wanaobadilisha gari ya mafuta kitumia mfumo wa gas wengi ni matapeli na wanaharibu na kupunguza uwezo wa gari.
Wasambaze na mikoani
Wapi kwa Dar na mnatumia mda gani??Boss una gari, ilete tukuongezee huo mfumo. Magari yanabadilishwa kila siku na yanatumia gesi.
Kuongeza mfumo inachukua masaa manne tu boss.Wapi kwa Dar na mnatumia mda gani??