Gesi mnayopiga kelele kuuzwa Kenya haitatumika kwenye Viwanda vya Tanzania?

Hili la unyimi kufa njaa limenigusa, ndugu yangu ashapoteza maisha kwa sababu ya uchoyo hata kwa nafsi yake!
 
Wakenya ni 'makanjanja' full stop
Kama makanjanja wanaweza kuwekeza viwanda na biashara mbalimbali 530 nchini mwetu Vs sisi kuwekeza biashara 30 nchini kwao basi na mimi bora niwe kanjanja jombaaa....
 
Hiyo gesi ni nyingi mno, ndio maana inatakiwa iuzwe ilete fedha za kigeni, zilete maendeleo nchini kwetu, hivyo ndivyo nchi zote zenye gesi duniani zanafanya, Urusi wanauza gesi hadi ulaya na wana bomba la gesi kuelekea nchi nyingi tu.
[emoji1666][emoji1666][emoji1666]Tuna matrilioni kwa matrilioni ya mita za ujazo za gesi na so far hata asilimia 20 tuu ya matumizi yetu ya ndani hatujafikia.
 
Mkuu gesi asilia tunayo nyingi mnoo, Trilions of cubic meters but iko ardhini na lazima ichimbwe. Tayari tuna visima Songosongo, Kilwa, Lindi na pia huko Mtwara. Pia bomba limeshajengwa kuleta gesi Dar na tayari inatumika kwenye mashine za Tanesco kufua umeme, na pia kwenye baadhi ya viwanda. Hata Dangote ameshaanza kutumia gesi badala ya makaa ya mawe. Kuhusu gesi ya kwenye mitungi hapo ni kimbembe maana hiyo gesi lazima kuanzishwa kiwanda cha kusindika hiyo gesi asilia na kuiweka kwenye mitungi. Hicho kiwanda ndiyo ilikuwa kijengwe Mtwara but ikashindikana ndiyo maana gesi ya mitungi bado iko juu sana.
 
Mkuu wewe naye unachanganya madawa!!hiyo tunayotumia majumbani ni LPG, sio hiyo inayopatikana mtwara!ni kweli gesi hiyo inayozalishwa kwa sasa hata Tz, tu haitoshi, hilo bomba la gesi kutoka mtwara hadi dar, gesi inayopita humo hata 25% ya uwezo wa bomba haufiki!!
 
Hapana mkuu, Gesi inayo zalishwa mtwara n gesi halisi na pia inaweza pia kutumika vizuri kabisa majumbani endapo tu patajengwa kiwanda Cha kuichuja,na ndiyo maana inaweza pia kutumika Kama nishati ya umeme,gesi huchujwa kutokana na matumizi husika
 
Wasukuma pekee ndio hawamuungi mkono Mama
Sio wote ni wale wenye roho mbaya na uongozi waliotaka ubakie kwao kwa kujua sukuma zone itabadilika kutoka kwenye umasikini kwa kutegemea mtu mmoja wana sahau nyumba haijengwi na fundi mmoja akiugua au kufa nyumba haijengwi wasukuma tuwekeze kwenye elimu na uzalendo na kwetu, chato kuwa mkoa mhhhhhhhh YATIMA BHANA
 
Sawa kabisa mkuu, nafurahi kuwa na watu waelewa kama ww, umefafanua vizuri pia hata mm umenipa somo, point yangu kubwa hapa ni kwamba, inapo safirishwa kwenda kenya na wenzetu wakasoma gape kuwa sisi Tz hatuna kiwanda Cha kuisindika wakajenga wao huoni tayari tutarudi kuuziwa sisi Kama bidhaa kutoka Kenya?
Pili je niajira ngapi zitatengenezwa kwa wakenya kusindika gas?
Lakini pia kwanini malighafi yetu isigeuzwe kuwa bidhaa hapa nchini na ipewe thamani kuliko kusafirishwa Kama Mali ghafi, huoni mkuu hii inarudi kuwa Ile hadithi ya kupeleka mchanga wa dhahabu nje?
Mwisho kila kitu kina mwisho mkuu, hata Kama gas ipo nyingi kiasi gani lazima itafikia mahali ita Isha tu, Kati ya Norway au Denmark nadhani sina hakika mafuta yameisha ardhini, lakini wenzetu wapo mbali tayari kimaendeleo.
Lakini gharama za kujenga hilo bomba vipi ingewekezwa kujenga kiwanda kikubwa cha kusindika gas yetu ili kuiongezea thamani na kusaidia hali ngumu ya uchumi hapa Tz, mfano hata Bei ya gas ikashuka ili tunufaike sisi zaidi?
Lakini najiuliza zaidi kama gas hii hii ilileta vurugu ilipo kuwa ikisafirishwa kutoka Mtwara hadi Dar vp itakapo sikika inavuka mipaka? Nikwambie tu mkuu kuwa watu wanaumia sana mioyo yao na hawana pa kusemea kuhusu Raslimali za nchi kutapanywa.
 
Hapana mkuu, Gesi inayo zalishwa mtwara n gesi halisi na pia inaweza pia kutumika vizuri kabisa majumbani endapo tu patajengwa kiwanda Cha kuichuja,na ndiyo maana inaweza pia kutumika Kama nishati ya umeme,gesi huchujwa kutokana na matumizi husika
Sawa hilo nalijua ila kwa sasa inayotumika kwenye mitungi hii tunayotumia ni lpg, ila kuna baadhi ya nyumba chache sana hasa mikocheni, wanaitumia majumbani!!wamevutiwa kwa kutumia mabomba!!kuiweka kwenye mtungi inawezekana ila wanasema inatakiwa utaalam mkubwa, hivyo inaweza kuwa na gharama zaidi ya hiyo Lpg, kwa mtungi wa ujazo huo huo.
 
Una shilingi ngapi ukaanzishe hicho kiwanda.au unatapika tu michembe utadhani kujenga hicho kiwanda ni kama kununua maembe.Inaonekana ata gas yenyewe hujui ikoje unapopoma tu.Hebu kajifunze kwanza ndo urudi uandike kitu cha maana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuwaza mtu wa nje wakati wako wananjaa ni kupungukiwa akili
 
Nenda kwanza kajifunze aina za gas na gas inayozungumziwa na jinsi matumizi yake yalivyo ndo urudi.Maana unapopoma tu bila ata kujua kinachojadiliwa ni kitu gani.
 
Nenda kwanza kajifunze aina za gas na gas inayozungumziwa na jinsi matumizi yake yalivyo ndo urudi.Maana unapopoma tu bila ata kujua kinachojadiliwa ni kitu gani.
Ww hovyo kabisa ww, ndiyo wale niliyesikia wanyama wanaenda kuzaliana Kenya then wanarudu Tz,kwa kukusaidia ni kwamba"Gasi inayo zalishwa Tanzania ni gas Kama zingine zozote duniani,kinacho fanyika kutofautisha aina ya gas n uchujwaji na uboreshwaji tu,Kama Tanzania ingeliamua kujenga kiwanda Cha kuchuja gas ipatikane ya kutumia majumbani ingeweza kuliko kujenga bomba la gas
 
Una shilingi ngapi ukaanzishe hicho kiwanda.au unatapika tu michembe utadhani kujenga hicho kiwanda ni kama kununua maembe.Inaonekana ata gas yenyewe hujui ikoje unapopoma tu.Hebu kajifunze kwanza ndo urudi uandike kitu cha maana.
Sawa mnyama anaye enda kuzalia kenye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…