Gesi nyingi zaidi yagundulika bahari kuu Tanzania

Gesi nyingi zaidi yagundulika bahari kuu Tanzania

Mafisadi walikwishaingia mikataba ya gesi hata kabla haijagunduliwa. Bila CCM kuondoka madarakani, watanzania waendelee tu kuhesabu maumivu ya ufukara! Hakuna nafuu ya maisha!

Ulitaka chama gani kiwe ikulu. Akili za samaki nenda kwenye point
 
Sina hamu ya hizi gesi!nina hamu ya kusikia Tanzania imepata wananchi "wakali" wanaodai haki zao hadi zipatikane!
 
mara zafarani,mara tangawizi,mtatuambia sasa pilipili,hayo maeneo mbona hayasemwi yapo mikoa ipi,au utafiti huo ni siri?

kilomita 80 ndani ya bahari kutokea nchi kavu !!! hatujafikia eneo la zanzibar kweli, naomba kuelimishwa tusije kuwa tunaingia gharama za bure kwa kunufaisha nchi nyingine!!!!!
 
Fursa ndo hzo, tatzo wachumi nguli wabongo wanatumika ughaibun cc 2nawapigia debe wabwa2kaji eti ndo waongoze nchi
 
Sasa tufute ile kauli mbiu... kilimo ndio uti wa mgongo wa uchumi wetu.
Gesi ndio uti wa mgongo wa uchumi wa nchi yetu
 
kama viongozi wetu watatumia vizuri rasilimali hizi tulizo nazo umasikini ndio byebye na hatutahitaji misaada yenye masharti magumu.
 
kwiikwiikwiiii Jf raha sana yaani dah! kabla hata sijafikiria kuuliza mara naona comment mnasaba na tatizo langu!

mara zafarani,mara
tangawizi,mtatuambia sasa pilipili,hayo maeneo mbona hayasemwi yapo
mikoa ipi,au utafiti huo ni siri?
 
Mi nijuavyo ugunduzi wa kila kitu hapa Duniani ulifanywa miaka 100 na zaidi iliyopita. Hawa wazungu wanaijua dunia yote kila penye kila kitu, just wanafanya usanii wa kujustify gharama zitakazokuwa implanted kwa kisingizio cha kugundua ilihali wanasoma ramani za mababu zao tu zinazoeleza ugunduzi uliofanywa kitaaaambo.

Mbona watanzania hatuwezi kusoma hizo ramani za mababu na sisi tuvumbue?? Au sisi hatujapewa ramani? Au macho hatuna?
 
Mafisadi walikwishaingia mikataba ya gesi hata kabla haijagunduliwa. Bila CCM kuondoka madarakani, watanzania waendelee tu kuhesabu maumivu ya ufukara! Hakuna nafuu ya maisha!

Hahaha umenichekesha sana, Yaani Mafisadi walishaingia mikataba hata kabla Statoil hawajota majibu???? hahahaha
Ila ni ukweli CCM ikindelea kuwepo pale Magogoni tuendelee kuhesabu maumivu.
 
bei ya gesi tunazopikia na ya umeme vipungue basi ah!
 
kilomita 80 ndani ya bahari kutokea nchi kavu !!! hatujafikia eneo la zanzibar kweli, naomba kuelimishwa tusije kuwa tunaingia gharama za bure kwa kunufaisha nchi nyingine!!!!!

wanatuletea sanaa hawa,hawatuambii wamegundua hyo gesi maeneo yapi wajasiriamali tununue vitalu tuje kuuza kwa wenye nyenzo za kuichimba hyo gesi kama janjaweed reginald mengi tupate midolari ya kutosha tuishi kama tycuun wa madawa ya kulevya aliyekatwa juzijuz mexico huku nyumbani kwake akikutwa na matrilioni ya midolari
 
Mbona watanzania hatuwezi kusoma hizo ramani za mababu na sisi tuvumbue?? Au sisi hatujapewa ramani? Au macho hatuna?
Watanzania wangapi wanasoma vitabu vyako ulivyoweka kwenye shelfu zako nyumabani kwako, au nyaraka zako ulizoweka kwenye laptop yako.
 
Back
Top Bottom