mkonyezaji
Senior Member
- Jan 22, 2014
- 154
- 19
Mafisadi walikwishaingia mikataba ya gesi hata kabla haijagunduliwa. Bila CCM kuondoka madarakani, watanzania waendelee tu kuhesabu maumivu ya ufukara! Hakuna nafuu ya maisha!
Mafisadi walikwishaingia mikataba ya gesi hata kabla haijagunduliwa. Bila CCM kuondoka madarakani, watanzania waendelee tu kuhesabu maumivu ya ufukara! Hakuna nafuu ya maisha!
mara zafarani,mara tangawizi,mtatuambia sasa pilipili,hayo maeneo mbona hayasemwi yapo mikoa ipi,au utafiti huo ni siri?
mara zafarani,mara
tangawizi,mtatuambia sasa pilipili,hayo maeneo mbona hayasemwi yapo
mikoa ipi,au utafiti huo ni siri?
Mi nijuavyo ugunduzi wa kila kitu hapa Duniani ulifanywa miaka 100 na zaidi iliyopita. Hawa wazungu wanaijua dunia yote kila penye kila kitu, just wanafanya usanii wa kujustify gharama zitakazokuwa implanted kwa kisingizio cha kugundua ilihali wanasoma ramani za mababu zao tu zinazoeleza ugunduzi uliofanywa kitaaaambo.
Mafisadi walikwishaingia mikataba ya gesi hata kabla haijagunduliwa. Bila CCM kuondoka madarakani, watanzania waendelee tu kuhesabu maumivu ya ufukara! Hakuna nafuu ya maisha!
ha! ha! ha! a/c za uswiss na new jersey zimefurika!sasa kwa neema hii mpya sijui tukafiche wapi?
Sina hamu ya hizi gesi!nina hamu ya kusikia Tanzania imepata wananchi "wakali" wanaodai haki zao hadi zipatikane!
kilomita 80 ndani ya bahari kutokea nchi kavu !!! hatujafikia eneo la zanzibar kweli, naomba kuelimishwa tusije kuwa tunaingia gharama za bure kwa kunufaisha nchi nyingine!!!!!
Umasikini unakaribia kuisha kabisa Tanzania
Watanzania wangapi wanasoma vitabu vyako ulivyoweka kwenye shelfu zako nyumabani kwako, au nyaraka zako ulizoweka kwenye laptop yako.Mbona watanzania hatuwezi kusoma hizo ramani za mababu na sisi tuvumbue?? Au sisi hatujapewa ramani? Au macho hatuna?