ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Hata mimi nilikuwa silijui hili, kumbe hii kitu inakuwa imported duh now i can relate why its damn expensive!
But gas inayotengenezwa Tanzania bado haijawa refined kwa matumizi ya majumbani. Pls. toa hoja ya kuishauri serikali iharakishe refining ili wananchi wapate ahueni ya kuninua imported gas! Tutumie malighafi yetu Jamani!Bado haijakosa koso.. wewe hushangai kiasi cha magunia ya mkaa kinachoingia DSM kila siku!
Serikali inapaswa kutengeneza mipango ya matumizi ya gas kiasi kwamba kutumia mkaa iwe ni utajiri na si vinginevyo.
Inafaa kutumika majumbani bila kuwa-refined ila kwa kutumia mtandao wa mabomba hadi kwa watumiaji.. sasa changamoto ni mipango miji yetu sijui itakuwaje. Kama bado hujajenga hakikisha hutafuti kiwanja maeneo ya hovyo (un-surveyed) ili wakati utakapofika angalau uwe na uhakika wa kupitiwa na miundombinu hiyo.But gas inayotengenezwa Tanzania bado haijawa refined kwa matumizi ya majumbani. Pls. toa hoja ya kuishauri serikali iharakishe refining ili wananchi wapate ahueni ya kuninua imported gas! Tutumie malighafi yetu Jamani!