Gesi yaokoa mamilioni ya pesa za madereva

.Inawezekana na ndivyo wanavyofanya, we unabadilisha tu kuwa Sasa utumie Gas au Petroli. Kwa change over switch.
Vipi kuhusu uzito?najaribu kuwaza,umebeba tenki la gesi Kg 15,petroli kg 15,na watu wawili kila mmoja kg 70 ,hiyo gari kama ni gari ndogo si tairi zitakuwa zinagusa kwenye bodi...
 
Vipi kuhusu uzito?najaribu kuwaza,umebeba tenki la gesi Kg 15,petroli kg 15,na watu wawili kila mmoja kg 70 ,hiyo gari kama ni gari ndogo si tairi zitakuwa zinagusa kwenye bodi...
Tatizo matenk ya Gesi nayo Ni mazito Kama Majiko ya Gas za kupikia.
Unaweza kuamua kutumia Gas tu.
Ila Gas ni nafuu na inaboresha nguvu ya injini ya Gari.
 

Mpendwa wala hakuna faida aipatayo mwendeshaji. Labda kufanyike tathimini ya kibiashara
 
hakuna ist inayoweza tumia lita 30 kwa kilomita 170 huo ni uongo uliokubuhu.
matokeo yake kila kitu kwenye hili tangazo/makala inaonekana ni cha kutunga kutangaza biashara. nlivyofika hapo tu hata interest za kuendelea soma zaidi zikaisha.
 

Hii habari umenakili kutoka chanzo kingine. Kwanini huonyeshi chanzo cha habari yako?
 
huo ulikuwa mkangafu kwakweli, au inatumia 3RZ engene
 

Miaka 9, kituo kimoja nchi nzima, gari zilizounganishwa 300. Hawa watu wako siriaz kweli au wanatania?
 

Miaka 15 tangu tugundue gesi nacho sikia ni tufunga gesi Majumbani, tutafunga kwenye vyombo vya usafiri, tutaongeza filling stations na kuendelea..... miaka inazidi kupita!
 
Kwa wenzetu mitungi sio mikibwa sana
 
Hivi kuna tifauti kati ya CNG na LPG?
Compressed ila haijawa katika mfumo wa kumiminika, liquified maana yake imegandamizwa hadi imekuwa kimiminika. Pia chemical structure ya natural gas (ch4 - methane) ni tofauti na petroleum gas.
 
Mpendwa wala hakuna faida aipatayo mwendeshaji. Labda kufanyike tathimini ya kibiashara
Unaijua tofauti ya LPG na CNG au mnabwabwaja ujinga tu hapa, mnaongelea gesi ya kupikia (LPG) kuwa juu as if na magari hutumia LPG..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…