Gesi yaokoa mamilioni ya pesa za madereva

.Inawezekana na ndivyo wanavyofanya, we unabadilisha tu kuwa Sasa utumie Gas au Petroli. Kwa change over switch.
Vipi kuhusu uzito?najaribu kuwaza,umebeba tenki la gesi Kg 15,petroli kg 15,na watu wawili kila mmoja kg 70 ,hiyo gari kama ni gari ndogo si tairi zitakuwa zinagusa kwenye bodi...
 
Tatizo matenk ya Gesi nayo Ni mazito Kama Majiko ya Gas za kupikia.
Unaweza kuamua kutumia Gas tu.
Ila Gas ni nafuu na inaboresha nguvu ya injini ya Gari.
 
Ukifanya hesabu vizuri kwa bei ya gas utagundua ni ghali hata kuliko petroli, na pia aliyeandika makala hii amekaa kibiashara zaidi kuliko uhalisia mfano kwa huo mfano wa ulaji wa mafuta IST kulinganisha na matumizi yake kwa upande wa gas.
Hii GAS imepatikana nchini kwetu lakini nikilinganisha bei ya gas na nchi zingine inaonekana kwa Tz ni ghali sana na ndiyo maana hata ya kupikia tu bado ipo juu sana.
Serikali ijaribu kuondoa kabisa kodi kwenye GAS ambapo inaweza kuwa rahisi sana na magari mengi kuhamia kwenye huo mfumo na utarahisisha sekta nzima ya usafirishaji na hata wawekezaji watafutiwa kuwekeza kwenye vituo vya GAS popote Tz

Mpendwa wala hakuna faida aipatayo mwendeshaji. Labda kufanyike tathimini ya kibiashara
 
Tatizo matenk ya Gesi nayo Ni mazito Kama Majiko ya Gas za kupikia.
Unaweza kuamua kutumia Gas tu.
Ila Gas ni nafuu na inaboresha nguvu ya injini ya Gari.
tapatalk_1575034221167.jpeg
 
hakuna ist inayoweza tumia lita 30 kwa kilomita 170 huo ni uongo uliokubuhu.
matokeo yake kila kitu kwenye hili tangazo/makala inaonekana ni cha kutunga kutangaza biashara. nlivyofika hapo tu hata interest za kuendelea soma zaidi zikaisha.
 
View attachment 1275872

KUGUNDULIKA kwa gesi kwenye mikoa ya Kusini mwa nchi, kumeokoa fedha nyingi ambazo zilikuwa zikitumika kununua petroli na dizeli. Hayo yameelezwa na wafanyabiashara wa kusafirisha abiria jijini Dar es Salaam kwa nyakati tofauti.

Mmoja wa watu hao ni dereva teksi aliyejitambulisha kwa jina moja ‘Ezekiel’, anayetoa huduma ya usafiri jijini Dar es Salaam. Gazeti hili linakutana na dereva huyo katika eneo la Ubungo Maziwa jijini Dar es Salaam, kunakopatikana kituo pekee kinachotoa huduma ya kujaza gesi kwenye magari. Ezekiel alifika kituoni hapo kwa ajili ya kujaza gesi kwenye gari lake.

Alipohojiwa, dereva huyo alisema kuwa ana miezi saba tangu alipoanza kutumia gesi, kwenye gari lake aina ya Toyota IST, ambalo analitumia kwa ajili ya biashara. Ezekiel alisema, “Mimi ni dereva wa gari hili la biashara, kwa sasa ninafurahia matumizi yangu ni kidogo.

Nikiweka kilogramu 10 za gesi kwenye gari langu, naliendesha gari kwa kilometa 170 bila ya kupata adha yoyote, tena kwa gharama nafuu, kwani kilogramu moja kwa sasa tunauziwa Sh 1,550. Zamani nilikuwa nikitumia zaidi ya lita 30 kwa kilometa 170, tena hiyo ni pale unapokuta hakuna msongamano wa magari, na kama unavyojua kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni, petroli imekuwa ikiuzwa kati ya shilingi 2,150 mpaka 2,350.” Aliongeza kuwa matumizi yake, yamepungua kwa zaidi ya asilimia 40, baada ya kuunganishiwa mfumo wa gesi.

Kwa upande wake, James Oswald ambaye ni dereva teksi aliyejiajiri, alisema unafuu anaoupata kwenye gesi, umempunguzia gharama za matumizi za uendeshaji gari, hivyo ameelekeza fedha hizo kuendeleza miradi mingine. “Nina magari mawili ya biashara, yote ni Toyota IST.

Hadi sasa nina miezi sita tangu nilipolibadilishia mfumo wa hili limoja na ndilo ninalolitumia ninapokuwa kwenye shughuli zangu za kubeba abiria, ninafurahia na kupata unafuu mkubwa kwenye hasa linapokuja suala la matumizi. Nilipokuwa nikitumia petroli nilikuwa nikitumia fedha nyingi ukilinganisha na sasa. Lakini jambo hili wengi wamekuwa hawalielewi mpaka pale mtu atakapopata fursa la kutumia gari linalotumia gesi.

Mtazamo wangu ni kuwa miaka ijayo watu wengi watahamia huku kwani unapofunga mfumo matumizi yanapungua marudufu,”alisema. Neema Kimaro ni dereva teksi mwingine. Yeye anasema alianza kazi hizi karibuni baada ya kubadilisha matumizi gari lake kuwa la biashara. Awali lilikuwa kwa ajili ya matumizi ya kifamilia.

Dada huyo anayetoa huduma jijini Dar es Salaam, alisema kwamba alilazimika kutumia nishati ya gesi ili kuokoa fedha, ambazo zingekuwa zikitumika kununua petroli. “Ninatumia gesi kwa kuwa ni bei rahisi kulingana na hali ya uchumi ya sasa ilivyo, lakini pia ukitazama kuna tofauti kubwa sana ukilinganisha mafuta, ambayo unaweza kutumia mengi kwa siku.

Gesi unatumia fedha kidogo lakini kwa muda mrefu… hii gesi nikijaza shilingi 15,000, ina maana ninaweza kutembea zaidi ya kilomita 150 ukichanganya na foleni za mjini,” alisema. Ramadhani Yasin ambaye ni dereva wa daladala, linalofanya safari zake kutoka Gongo la Mboto hadi Stesheni, alisema amekuwa na maisha mazuri tangu mwajiri wake, alipoamua kuunganisha mfumo wa gesi kwenye gari hilo, aina ya Toyota Coaster.

“Siku hizi ninaona fedha imenikubali, kuunganishwa kwa mfumo wa gesi kwenye gari kunaniapa faida, na bosi wangu naye anapata kwani zamani nilikuwa nikimpelekea hesabu shilinfi 80,000 kwa siku, lakini sasa napeleka laki moja wakati huo huo mimi ninabaki na shilingi 50,000, hali hii ni tofauti na zamani ambapo nilikuwa napata shilingi 20,000 kwa siku. “Kwenye matumizi, kwa siku ninaweka gesi kilogramu 25 asubuhi na 25 jioni.

Kwa siku ninajikuta nikitumia mpaka shilingi 75,000, lakini zamani nilikuwa nikinunua dizeli mpaka shilingi 160, 000 kwa siku huku faida ikiwa kidogo,” alieleza dereva huyo. Alisema kuwa itakuwa ngumu, kukubali kuajiriwa na mmiliki mwenye gari lisilokuwa na mfumo wa huo gesi. Mmiliki wa basi hilo (jina tunalo) alisema kuwa, “Kuunganisha gesi kwenye basi langu, kumeniongezea faida, lakini pia kumepunguza usumbufu kutoka kwa dereva pale anaposhindwa kufikisha hesabu tunayokuwa tumekubaliana.

Sipati usumbufu wowote, dereva anapata na mimi kwa kweli ninaneemeka. Mimi ninajiona kama mbunifu, kwani ni daladala chache zimeshtukizia mchongo huu.” Mwanamke mmoja ambaye hakutaka kutaja jina lake, alipohojiwa wakati akijaza gesi kwenye gari lake aina ya Toyota Harrier, alisema “Niliishi Malaysia, magari mengi yanatumia gesi. Kama hujui, gesi ni nafuu sana na haiharibu mazingira kama ilivyo kwa petroli na dizeli.”

WENYE MRADI WAFUNGUKA
Kampuni ya Pan African Energy Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), ndiyo wenye mradi huo wa kujaza gesi kwenye magari. Wamekuwa wakitoa huduma kwenye kituo hicho kimoja, tangu kuanza kwa huduma hiyo miaka tisa iliyopita. Mkurugenzi Mtendaji wa Pan African Energy Tanzania, Andy Hanna alisema kuwa wamekuwa wakitoa huduma kwenye Kituo cha Gesi Ubungo kama wabia na TPDC, kwa kuhakikisha kuwa huduma za gesi zinapatikana kwenye kituo hicho.

Kwamba wameendelea kuhakikisha kuwa huduma, zinawavutia wengi ili waweze kubadili mfumo. “Tunatoa huduma kwa zaidi ya magari 100 kwa siku na huduma zetu ni za saa 24. Na hii imezidi kuwa njia mojawapo ya kuwavutia watu wengi kupitia wale tunaowahudumia, lakini changamoto ipo kwani kituo ni kimoja tu na hakipo kwenye eneo rafiki kibiashara.

“Mifumo hii iliyopo kwenye kituo hiki, tuliifunga miaka tisa iliyopita, na hadi sasa idadi ya magari yanayopata huduma ni zaidi ya 300. Kwa sasa ni watanzania wachache wanafurahia kutumia gharama ndogo kwenye uendeshaji wa magari. Iwapo wangefahamu zaidi na vituo vikaongezeka, basi wanufaika wangekuwa wengi na utunzaji wa mazingira ungeongezeka, kwani asilimia 72 ya kinachotoka kwenye mafuta ya petroli na dizeli huchafua mazingira,” alieleza. Alisema kuwa ni wakati sasa wa Tanzania, kunufaika na rasilimali iliyonayo.

ZAIDI YA TRILIONI 30/- ZAOKOLEWA
Kwa mujibu wa TPDC, kwa kipindi cha miaka 15 tangu Tanzania ilipoanza kuzalisha na kusambaza gesi, imeokoa kiasi cha Sh trilioni 30, ambazo zingetumika kuagiza mafuta nje kwa ajili ya kuzalisha umeme na uendeshaji wa viwanda. Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dk James Mataragio alisema kiasi hicho cha fedha, kingetumika kwenye ununuzi wa mafuta kwa ajili ya umeme wa mafuta.

Kwamba uwepo wa gesi asilia umewezesha takribani asilimia 54 ya umeme unaozalishwa nchini, kutumia gesi asilia. Nishati hiyo pia inatumika viwandani na kwenye magari.

MTAFITI AZUNGUMZA
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi inayojishughulisha na Utafiti wa Sera (REPOA), Dk Donald Mmari alisema kuwa matumizi ya gesi, yanaweza kuwa chanzo cha mapato makubwa ya taifa. “Nchi kadhaa duniani kama vile China, Malaysia na India magari yote ya kijamii yakiwemo mabasi, yanatumia gesi asilia na kufanya gharama ya uchukuzi kushuka chini. Ni wakati sasa kuitumia sekta hii,” alisema Dk Mmari.

VITUO VYA KUJAZA GESI KUONGEZWA
Juzi, Kamishna Msaidizi wa Gesi kutoka Wizara ya Nishati, Sebastian Shana alisema kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya gesi asilia kwenye magari, huku huduma hiyo ikiwa inatolewa kwenye kituo kimoja, serikali imekusudia kuanzisha vituo vingine viwili vikubwa kwa ajili ya kusambaza gesi kwenye vituo vingine vidogo vilivyopo Dar es Salaam.

Shana alisema takribani magari 300 nchini Tanzania, yanatumia gesi kama mbadala wa mafuta, huku mengi zaidi yakiendelea kubadilisha mifumo ili yaweze kutumia nishati ya gesi. Agosti 21, mwaka huu akiwa jijini Dodoma, Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dk Mataragio akiwasilisha taarifa kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, alisema kutokana na ongezeko la magari yanayotumia gesi, kituo cha majaribio kilichopo Ubungo Dar es Salaam, kinashindwa kuhimili matakwa ya matumizi, hivyo shirika limepanga kujenga kituo kikubwa eneo la Sam Nujoma jijini Dar es Salaam, ili kuondoa changamoto husika. “Kituo hicho kinachotarajiwa kukamilika Oktoba 2020, kitatumika kujaza gesi katika magari na kupeleka gesi maeneo ambayo miundombinu ya mabomba ya gesi bado haijafika,” aliieleza kamati hiyo.

MABASI MWENDOKASI KUNEEMEKA
Ikiwa ni jitihada za uwezeshaji matumizi ya gesi katika magari nchini, Dk Mataragio alisema pia kuwa TPDC inalenga kuupatia gesi asilia Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi (DART), ambapo kwa kuanzia kituo cha kujazia gesi kwenye magari, kitajengwa eneo la DART Ubungo na kinatarajiwa kukamilika Oktoba, 2020.

Alisema, shirika lilikubaliana na DART kuwezesha kuweka vituo maalumu vya gesi Gongo la Mboto na Mbagala ili kupunguza gharama za uendeshaji wa miradi ya DART, lakini pia kupunguzia wananchi gharama za nauli.

DIT YAONGEZA UBADILISHAJI MFUMO WA MAGARI
Mratibu wa Mradi wa Matumizi ya Gesi Asilia kwenye Magari (CNG Vehicle Project) kutoka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Dk Esebi Nyari alisema kuwa taasisi hiyo imeendelea kuunganisha magari kwenye mfumo wa matumizi ya gesi asilia badala ya petroli. Kwamba hadi sasa magari zaidi ya 100 yameunganishwa kwenye karakana yao.

Dk Nyari alisema mfumo huo wa kuunganisha gesi asilia, unasaidia kupunguza gharama kwa wamiliki wa magari na kwamba kiasi kidogo cha gesi asilia, kinatumika katika umbali mrefu. “Mfumo huu una faida nyingi, kilogramu moja ni shilingi 1,550 huku petroli lita moja ikiwa ni wastani wa shilingi 2,200, ukiweka gesi asilia kilogramu moja unaweza kuenda zaidi ya kilometa 20 huku petroli lita moja inakwenda kilometa zisizozidi 12.

Mtungi wa gesi asilia wa kilogramu 15 (shilingi 23,250) unaweza kutumika kutembea zaidi ya kilometa 200, tofauti na petroli,” alisema. Kuhusu gharama za kubadili mfumo, mtaalamu huyo alisema kuwa mwenye gari lenye ‘cylinder’ nne, anatozwa Sh milioni 1.8 na kwa zaidi ya hapo, bei inapanda kidogo. Kwenye kuunganisha mfumo, DIT inashirikiana na kampuni ya wazawa ya Energo Tanzania Limited, ambayo inashughulikia teknolojia na DIT wao wanahusika zaidi kwenye ufundi wa mfumo huo.

Hii habari umenakili kutoka chanzo kingine. Kwanini huonyeshi chanzo cha habari yako?
 
Habari ina uongo/promo hii.

Dereva wa IST anasema 'Zamani nilikuwa nikitumia zaidi ya lita 30 kwa kilometa 170, tena hiyo ni pale unapokuta hakuna msongamano wa magari.'

So IST ilikua inatembea lita 1 kwa km 5.6 sio? Na tena eti hapo hakuna msingamano.

Gari bovu hilo au labda alikua anaendesha brevis ile ya 3000cc.
huo ulikuwa mkangafu kwakweli, au inatumia 3RZ engene
 
Miaka 9, kituo kimoja nchi nzima, gari zilizounganishwa 300. Hawa watu wako siriaz kweli au wanatania?
 
Miaka 15 tangu tugundue gesi nacho sikia ni tufunga gesi Majumbani, tutafunga kwenye vyombo vya usafiri, tutaongeza filling stations na kuendelea..... miaka inazidi kupita!
 
Hivi kuna tifauti kati ya CNG na LPG?
Compressed ila haijawa katika mfumo wa kumiminika, liquified maana yake imegandamizwa hadi imekuwa kimiminika. Pia chemical structure ya natural gas (ch4 - methane) ni tofauti na petroleum gas.
 
Mpendwa wala hakuna faida aipatayo mwendeshaji. Labda kufanyike tathimini ya kibiashara
Unaijua tofauti ya LPG na CNG au mnabwabwaja ujinga tu hapa, mnaongelea gesi ya kupikia (LPG) kuwa juu as if na magari hutumia LPG..
 
Back
Top Bottom