Tukienda gesti kibongo bongo kwa ajili ya kupiga mambo yetu yale wengi wetu hatutumiagi majina yetu ya ukweli. Mimi naandikaga Emmanuel John, wewe je?
Funguka hapa chini[emoji116]
I Prefer zanzibar its Good!Inabidi xmass tuende zanzibar au dubai
acha ufuala mkuu,huwa naenda na kanzu[emoji867][emoji867]Huwa unaenda na nywele zako za kibantu au unavaa wigi?
Kumbe hii Hali hua ipoNimekumiss halafu wala hunitafuti
Mkuu mzee mjungu ndiyo mzee Wamjungu?Umeongea kuhusu wakerewe umenikimbusha zamani nilikuwa natumia jina la kijita nilikuwa naandika " Mzee Mjungu" halafu lilikuwa jina la mwenye gesti mpaka siku moja akaniita akaniambia kijana wangu acha hizo bana ipo siku mke wangu atakuja kukagua majina hapa halafu atajua ni mimi.
R.i.p Mzee Mjungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Suluhu Majaliwa Mipango
Umesahau la mwisho ambalo ni Kitwango
Mkuu mnazi pale kuna yale mashangazi kama Lubumbashi au kwa Godi?February makamba
Kazi; wakili
umri: 39
kutoka Tanga kwenda Dodoma
wakati huo nipo Dar chimbo la hapo lubumbashi nanyatia mashangazi ya hapo lubumbashi,mnazi mmoja na gods Club mbezi mwisho
Muende kituloInabidi xmass tuende zanzibar au dubai
Sidhani kama wote tunaingia kwa ajili ya hili mkuu...wengine tunaingia kulala ili kesho tufanye kaz tuliyopangiwa sehemu hiyokwa ajili ya kupiga mambo yetu
Ndyo mie, [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe tena?
Ndyo cpajui, [emoji23][emoji23][emoji23]Weeeeeh kwaiyo hupajui Mt. Maria goreth[emoji38]
Uko kazi ni moja tu midabhanguro mwanzo mwisho😂Ndyo cpajui, [emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka laana dogo.Natumia Pasco Mayalla
Wee kumbee? [emoji23][emoji23][emoji23]Uko kazi ni moja tu midabhanguro mwanzo mwisho[emoji23]
Kipi ujaskia apo we kudabhangurwa hujuiWee kumbee? [emoji23][emoji23][emoji23]