Gesti unatumiaga jina gani?

Gesti unatumiaga jina gani?

Umeongea kuhusu wakerewe umenikimbusha zamani nilikuwa natumia jina la kijita nilikuwa naandika " Mzee Mjungu" halafu lilikuwa jina la mwenye gesti mpaka siku moja akaniita akaniambia kijana wangu acha hizo bana ipo siku mke wangu atakuja kukagua majina hapa halafu atajua ni mimi.


R.i.p Mzee Mjungu
Ukorofi hujaanza leo kumbe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tukienda gesti kibongo bongo kwa ajili ya kupiga mambo yetu yale wengi wetu hatutumiagi majina yetu ya ukweli. Mimi naandikaga Emmanuel John, wewe je?


Funguka hapa chini👇
Kutumia jina ambalo si lako ni mbaya sana.Kabla haujaingia vyumbani uwe unaniita nakubatiza ubatizo wa maji "mafupi" ili likitokea la kutokea tukuzike kama "Emmanuel John"!
 
Back
Top Bottom