Gesti unatumiaga jina gani?

Gesti unatumiaga jina gani?

Hilo jina mzee unaweza kuletewa makarao utoe maelezo vizuri.
Siku niliandika Kassim Majaliwa... Muhudumu akanikatalia na kufuta kabisa.

Nikaandika Mwai Kibaki....

Shughuli ikaenda poa kabisa
 
Back
Top Bottom