Gesti unatumiaga jina gani?

Gesti unatumiaga jina gani?

Tukienda gesti kibongo bongo kwa ajili ya kupiga mambo yetu yale wengi wetu hatutumiagi majina yetu ya ukweli. Mimi naandikaga Emmanuel John, wewe je?


Funguka hapa chini[emoji116]

Hifikepunye Rutashuburugukwa!
 
Umeongea kuhusu wakerewe umenikimbusha zamani nilikuwa natumia jina la kijita nilikuwa naandika " Mzee Mjungu" halafu lilikuwa jina la mwenye gesti mpaka siku moja akaniita akaniambia kijana wangu acha hizo bana ipo siku mke wangu atakuja kukagua majina hapa halafu atajua ni mimi.


R.i.p Mzee Mjungu
Mkuu mzee mjungu ndiyo mzee Wamjungu?
 
February makamba
Kazi; wakili
umri: 39
kutoka Tanga kwenda Dodoma

wakati huo nipo Dar chimbo la hapo lubumbashi nanyatia mashangazi ya hapo lubumbashi,mnazi mmoja na gods Club mbezi mwisho
Mkuu mnazi pale kuna yale mashangazi kama Lubumbashi au kwa Godi?
 
Na sababu ya kutotumia jina halisi?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom