Get Together Party ya waliozaliwa MAY

Get Together Party ya waliozaliwa MAY

ngoja tuanze mchakato wa kuandaa hiyo pati

natumaini pale milimani city au serena hotel panafaa zaidi mtachague katika hizo option 2

lete wazo lako
sema tunakutana wpi.??? 6-5 naona jua tunaoshare mpo???
 
Habarini mabestito wangu wa ukweli

Niliwamisijeeeeeeeeeeeeeeeeee?

nimewatamani ile mbaya kwani miezi sasa imepita sijawatia machoni mwenzetu kwa ubize wa vishughuli na ivijimambo vya kona ya mtaa wa kisasa kuleee hata siwaaliki kwani nanyi mtashobokea bure kule family kuna kila embedodo.

Awali ya yote mabestito nimeona nitoe kaprogram ka mwaka huu hapa sijamshirikisha mtu bali nimependelea na nimevutiwa tuandae

PARTY YA KUFA MTU HIII ITAWAHUSU WALE WALIOZALIWA KUANZIA MWEZI MAY HADI SEPTEMBER MPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

YAANI KUANZIA TAREHE 1 HADI 30 MAY TUTAKUWA NA PARTY NDOGO SANA SIJUI WENYEWE MLIOZALIWA MTASEMA IANGUKIE TAREHE IPI KATIKATI YA MWEZI MAY IKIWA TAREHE 15/5/2015 ITAKUWA POA SANA MWAONAJEEE MABESTITO

Na wale mliozaliwa miezi mingine msijisikie vibaya hatujawatenga bali nanyi karibuni sana siku hiyo kwani kutakuwa na burudani kiasi, kutakuwa na kulishana keki kwa wale member waliozaliwa MAY wote watakaotaka kujitambulisha maana usimfunge mtu mwingine hapendi kujulikana.

Na wale wa mkoani hasa mikoa ya karibu njoo Dar au nanyi mtaweka vikao namna ya kufanya get together party hukohuko mikoani na kutupa updates nini kinaendelea huko kwenu.

karibu kwa michango na ushauri tufanyaje katika party hii

Wasalaam

Lady

CC: Mtambuzi, Mentor, Paloma, sister, miss chagga, Viol, KakaKiiza, Heaven on Earth, Munkari, valentine, mshana, Asprin charminglady, Lady doctor, Passion Lady, Watu8, Richpol, amu, Madame B, Chachu Ombara, muuza ubuyu, Ntuzu, Mr Rocky, Tized Arushaone, Young Master, Joe Nyandigira, dikembe na wengine wote

KARIBUNI
weraaaaaaaaaweraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa imeshasogea wakuuu mwanonaje hahahahahahaaa
 
Great idea na mie nipo tayari maana ni wa May pia. Kakiwepo kamziki na hasa old skul...zile kama maiko jaksoni njoo...sitakiii...kama hutaki nenda..... au ile ya kidudu dudu...kidudu.....naogopa kidudu kisicho na macho.....
 
Back
Top Bottom