Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZD ooh la! la! natamani sana kumsifia kupita maelezo ila naogopa ni mke wa bro sasa isije kulete ugomvi.
Heshima mbele mkuu. Kama kawaida yangu! Vitu adimu!
ZD alikuwa na rasta za ukweli!huyu kweli ni ZION DAUGHTER!hivi mama niambie siri ya ublaki-biuti wako
hahahah!Bwashee maswali mengine unapaswa kuniuliza mimi!
SPESHO THENKSI KWA MASANILO-tulimdipu akapiga simu nakuongea nasi laivu!
hahahah!
haya mkuu!
SPESHO THENKSI KWA INVIZIBO!alikuwepo.
anasoma pm zetu kila siku huyu!infact nilitaka ku-muattack sema taska ilishanizidia nikasahauMpaka sasa najiuliza huyu binadanu alijuaje chimbo letu wakati wapwa tulikuwa tunawasiliana kwa PM. Big UP invizibo. Ulitutia hamasa sana, hasa kutupa uhakika wa kulikwepa lupango la bann!
anasoma pm zetu kila siku huyu!infact nilitaka ku-muattack sema taska ilishanizidia nikasahau
No problem mamii, ila ulituangusha anyway. sasa expect my pm anytime, we will be in touch, the same for FL1.Wapendwa nifuraha yangu kuona kuwa mlienjoy sana. Next time ya mara nyingine nitawajoin unfortunately sikuweza this time ingawa niliipania vilivyo.
Mamaa Carmel tuwasiliane mpenzi
wapwa bwana mnatisha, hivi sijui nilikuwa wapi nimepitwa namna hii. Kwa kweli nilipenda sana rasta za ZD na kwa jinsi wanavyoshabihiana na xpin, ilikuwa match ya kufa mtu.
MIE MNISAMEHE KWA AHADI FEKI NILIANZA LAGA MAPEMAAA SAA SABA KUFIKIA SAA MOJA NIKO HOI NA KUSAHAU KAMA NIMETOA AHADI YA KUPIGA
NEXT TIME SITAPIGA ILA NITAKUWEPO KAMA EEEH mj1 kumbe hukutokea?
wapwa bwana mnatisha, hivi sijui nilikuwa wapi nimepitwa namna hii. Kwa kweli nilipenda sana rasta za ZD na kwa jinsi wanavyoshabihiana na xpin, ilikuwa match ya kufa mtu.