Get tugedha ilifana na ilikuwa bomba

Get tugedha ilifana na ilikuwa bomba

ZD alikuwa na rasta za ukweli!huyu kweli ni ZION DAUGHTER!hivi mama niambie siri ya ublaki-biuti wako
 
SPESHO THENKS KWA MASANILO!aliruka hewani live akaongea na kila mtu.(tulimdipu😀)
 
ZD ooh la! la! natamani sana kumsifia kupita maelezo ila naogopa ni mke wa bro sasa isije kulete ugomvi.

Heshima mbele mkuu. Kama kawaida yangu! Vitu adimu!
 
SPESHO THENKSI KWA MASANILO-tulimdipu akapiga simu nakuongea nasi laivu!
 
ZD alikuwa na rasta za ukweli!huyu kweli ni ZION DAUGHTER!hivi mama niambie siri ya ublaki-biuti wako

Bwashee maswali mengine unapaswa kuniuliza mimi!
 
SPESHO THENKSI KWA MASANILO-tulimdipu akapiga simu nakuongea nasi laivu!

Ila roho iliniuma nguli alivotaka kumuunganishia kwa ZD wangu afu bahati mbaya ZD akawa anachekacheka! Lol! Wivu bana!
 
SHUKRANI ZA ZIADA KWA KAIZER!kokote aliko alikuwa pamoja nasi.bai dhe taim tunataka kumdipu blakibeli yangu ikazima chaji.wabeba boksi msishangae kuona ninamiliki blakibeli😀!haya ndo maisha yangu)
 
hahahah!
haya mkuu!

SPESHO THENKSI KWA INVIZIBO!alikuwepo.

Mpaka sasa najiuliza huyu binadanu alijuaje chimbo letu wakati wapwa tulikuwa tunawasiliana kwa PM. Big UP invizibo. Ulitutia hamasa sana, hasa kutupa uhakika wa kulikwepa lupango la bann!
 
jamani mbona atukaribishani hizo party....au mnaogopa wakina mwanahalisi??am kd
 
Mpaka sasa najiuliza huyu binadanu alijuaje chimbo letu wakati wapwa tulikuwa tunawasiliana kwa PM. Big UP invizibo. Ulitutia hamasa sana, hasa kutupa uhakika wa kulikwepa lupango la bann!
anasoma pm zetu kila siku huyu!infact nilitaka ku-muattack sema taska ilishanizidia nikasahau
 
Wapendwa nifuraha yangu kuona kuwa mlienjoy sana. Next time ya mara nyingine nitawajoin unfortunately sikuweza this time ingawa niliipania vilivyo.

Mamaa Carmel tuwasiliane mpenzi
 
wapwa bwana mnatisha, hivi sijui nilikuwa wapi nimepitwa namna hii. Kwa kweli nilipenda sana rasta za ZD na kwa jinsi wanavyoshabihiana na xpin, ilikuwa match ya kufa mtu.
 
MIE MNISAMEHE KWA AHADI FEKI NILIANZA LAGA MAPEMAAA SAA SABA KUFIKIA SAA MOJA NIKO HOI NA KUSAHAU KAMA NIMETOA AHADI YA KUPIGA
NEXT TIME SITAPIGA ILA NITAKUWEPO KAMA EEEH mj1 kumbe hukutokea?
 
Wapendwa nifuraha yangu kuona kuwa mlienjoy sana. Next time ya mara nyingine nitawajoin unfortunately sikuweza this time ingawa niliipania vilivyo.

Mamaa Carmel tuwasiliane mpenzi
No problem mamii, ila ulituangusha anyway. sasa expect my pm anytime, we will be in touch, the same for FL1.
 
wapwa bwana mnatisha, hivi sijui nilikuwa wapi nimepitwa namna hii. Kwa kweli nilipenda sana rasta za ZD na kwa jinsi wanavyoshabihiana na xpin, ilikuwa match ya kufa mtu.

unaizungumziaje weight ya Yo Yo?sikuwahi kuota kama jamaa atakuwa na bode kubwa kiasi kile!lol
 
MIE MNISAMEHE KWA AHADI FEKI NILIANZA LAGA MAPEMAAA SAA SABA KUFIKIA SAA MOJA NIKO HOI NA KUSAHAU KAMA NIMETOA AHADI YA KUPIGA
NEXT TIME SITAPIGA ILA NITAKUWEPO KAMA EEEH mj1 kumbe hukutokea?

Sikuwepo bana si unajua nilidhani ningewahi toka huku mkoani but nikachelewa

Ila I DO PROMISE next time mtanikuta nishapanga na viti nawasubiria!
 
wapwa bwana mnatisha, hivi sijui nilikuwa wapi nimepitwa namna hii. Kwa kweli nilipenda sana rasta za ZD na kwa jinsi wanavyoshabihiana na xpin, ilikuwa match ya kufa mtu.

Kale ka button ka senks kamepotea. Ngoja nikutwangie kwa hapa Thanks. By the way bajaji ilifika salama bila pancha kadhaa? Manake mtoto unakula korosha sijapata kuona. Ukiunganisha na ile juisi ya pilipili aina ya fanta!
 
Back
Top Bottom