Get tugedha ilifana na ilikuwa bomba

Get tugedha ilifana na ilikuwa bomba

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470
Kwa wale walio miss kikao cha jana msiwe na kinyongo wapwa wana andaa get tugedha ingine tunawakaribishana wana jamvi mnaweza kuwasiliana na ZD,Nguli , Chrspin, Carmel, Geoff, Yo Yo hata mm mwenyewe.
Kwa kweli jana tulienjoy sana wapwa watakuja kumwaga vitu hapa.
Next time get tugedha sijui tutaifanyia wapi lakini ni vizuri sana kuonana na kufahamiana mlio miss ya jana msikonde next time kama kawa mnakaribishwa ila wasiliana na wadau hapo juu.
Shukrani nawashukuru nyote mlio kuja jana.
 
Hahaha! Tukutuku ilipoteza direction!
 
Ilikuwa safi sana ila raha yetu ingetimia endapo tungejua afya ya mpwa mwenzetu Burn tulyesikia ni mgonjwa wa mafua makali.
 
Hivi kumbe burn hakuwepo, mafua ya kitimoto yalimkamata au woga wa shughuli? Burn bana! Hahaha! Dada yangu alifunika mbaya na ile shela. Bwashee mwenyewe alikoma. Ila rekodi alivunja Carmel, ile Bajaji nilifikiri imepata pancha! Hahahaha!
 
Kweli Carmel anatisha WIDE LOAD! shez well grounded well fed, rl african mama.
 
Hahaha! Umesahau......... na mgonjwa! Mpwa bana!

Yeah nilimfikisha salama alikunywa mno Konyagi akadai anaumwa.
Mpwa next time kijiwe kitakuwa wapi?
 
Kama kawa tutawasiliana kwa PM. Si unawajua kina Bestfriends wa mkuu nguli (Yu knoo woram seeeein)? Hivi mgonjwa alikuwa he/she?
 
Hahahaha basi jukumu la kutafuta kijiwe chenye nyama choma tuwaachie Nguli na Geoff mgonjwa alikuwa He Geoff alikuja aliniona nae mzima tu nikawa na kazi tena ya kumpeleka mgeni TAZARA dah alikuwa wide loaded teh teh teh
 
Kweli Carmel anatisha WIDE LOAD! shez well grounded well fed, rl african mama.

Mchumba alinimaliza nguvu na ile red flower aliyonitwanga. Serengeti ilipanda kichwani kwa kasi ya ajabu. Mchumba bana, sitamuacha mpaka kufa.
 
Hahahaha basi jukumu la kutafuta kijiwe chenye nyama choma tuwaachie Nguli na Geoff mgonjwa alikuwa He Geoff alikuja aliniona nae mzima tu nikawa na kazi tena ya kumpeleka mgeni TAZARA dah alikuwa wide loaded teh teh teh

Mpwa Masa na toto la kizenji, simpatii picha. Mpwa YoYo kwa kitimoto hawezekani! Hahaha! Inabidi hafla irudiwe tena!
 
Ilikuwa safi sana ila raha yetu ingetimia endapo tungejua afya ya mpwa mwenzetu Burn tulyesikia ni mgonjwa wa mafua makali.

mafua gani tena jamani isijekuwa ni mdau mkubwa wa ...Nk nk
 
Hivi kumbe burn hakuwepo, mafua ya kitimoto yalimkamata au woga wa shughuli? Burn bana! Hahaha! Dada yangu alifunika mbaya na ile shela. Bwashee mwenyewe alikoma. Ila rekodi alivunja Carmel, ile Bajaji nilifikiri imepata pancha! Hahahaha!

Mpwa nilikuwa na dripu kadhaa ila kwa upendo wangu kwenu nilimuomba nesi amix na ndovu mpya kwenye hiyo drip, vipi kulikuwa na muingiliano wa kijinsia? next tym nitahakikisha natia maguu
 
pole mgonjwa una kasheshe teh teh ndovu na drip
 
Mpwa nilikuwa na dripu kadhaa ila kwa upendo wangu kwenu nilimuomba nesi amix na ndovu mpya kwenye hiyo drip, vipi kulikuwa na muingiliano wa kijinsia? next tym nitahakikisha natia maguu

Da pole sana mkuu.
Yeah kikosi kazi kilikuwa full soma hapo juu utawaona walikuwepo.
 
Mpwa Masa na toto la kizenji, simpatii picha. Mpwa YoYo kwa kitimoto hawezekani! Hahaha! Inabidi hafla irudiwe tena!

Kwa kweli na this tym hiyo wide load itabidi ifanyiwe utaratibu wa ku accomodate two vehicles au vipi mpwa?
 
Mpwa nilikuwa na dripu kadhaa ila kwa upendo wangu kwenu nilimuomba nesi amix na ndovu mpya kwenye hiyo drip, vipi kulikuwa na muingiliano wa kijinsia? next tym nitahakikisha natia maguu

Kama kawaida ya wapwa na mabinamu. Nilikuwa na shemeji yako ZD bega kwa bega. Palikuwa hapatoshi.
 
Burn pole sana kumbe kweli mzee ulikuwa unaumwa.
 
Back
Top Bottom