Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
halafu xpin sikuwahi kufikiri kwamba wewe ni kimmbau-mbau kiasi hicho!lol.watu wembamba lakini wewe ni zaidi ya founder😀
Muzee si unajua wanariadha na unene haviendani. Hahaha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu xpin sikuwahi kufikiri kwamba wewe ni kimmbau-mbau kiasi hicho!lol.watu wembamba lakini wewe ni zaidi ya founder😀
inabidi tumsaidie wife aina ya menu akuanzishie uongezeke kidogohalafu xpin sikuwahi kufikiri kwamba wewe ni kimmbau-mbau kiasi hicho!lol.watu wembamba lakini wewe ni zaidi ya founder😀
habari ndio hiyo nyamayao. anaendoka serengeti pale ni ZD, na Nguli konyagi, mimi bingwa, Geof alikosa vita malta ikabidi apate bavaria, yoyo na fidel ndovu.
Mpwa Masa na toto la kizenji, simpatii picha. Mpwa YoYo kwa kitimoto hawezekani! Hahaha! Inabidi hafla irudiwe tena!
kwa kweli sikuamini kabisaaaaaaaaa
Ilikuwa niwaombee mabaya iwapo msingenitaja......love n peace! Baba wa Zenj Masa
halafu xpin sikuwahi kufikiri kwamba wewe ni kimmbau-mbau kiasi hicho!lol.watu wembamba lakini wewe ni zaidi ya founder😀
Subiri mchumba aingie hapa awape watu habari, manake wengine wanajuaga mi mtu wa masihara. Vipi uko tayari kuwa matron kwenye arusi yetu January au hubby atakuwa kashatundika kitu. Si unajua WideLoad ikiwa na kitu ndani inakuwa Wider! Sasa naimagine usimamie harusi yangu na portable yangu ZD sijui itakuwaje! Hahahaha!

haaaa G bwana...
Baada ya getitugeza ya jana nilitegemea hili litaibuka.... Hongera Chrispin labda utatulia sasa.
Mtafutie na Fidel naye asisubirie 2012
Ila roho iliniuma nguli alivotaka kumuunganishia kwa ZD wangu afu bahati mbaya ZD akawa anachekacheka! Lol! Wivu bana!
Hahaha! Ndio maana ulisepa au? Acha woga binamu!
Kuna tukutuku zina sauti kubwa daaa! Na ulevi hausababishi ajali nimejifunza jana.
Hahaha! Espeshiale zinapokuwa hazina breki ya mbele. Hehehehe!Kuna tukutuku zina sauti kubwa daaa! Na ulevi hausababishi ajali nimejifunza jana.